Je umeshapitia makala yenye sifa za Tecno Phantom 6? Tecno Phantom 6 na Phantom 6 Plus ni simu mpya kutoka kampuni ya Tecno zilizotambulishwa rasmi jijini Dubai.
Utambulisho wa simu hizo ulitangaza rasmi pia ya kwamba Tecno wataanza kuuza simu zao duniani kote na si bara la Afrika pekee kama ilivyokuwa.
Tecno Phantom 6 Plus
Teknolojia za mawasiliano
- GSM: 850 / 900 / 1800 / 1900
- 3G: 850 / 900 / 1700 / 1900 / 2100
- 4G: LTE 3/7/20
- SIM: Laini mbili
- WiFi: Wi-Fi 802.11 b/g/n, Wi-Fi hotspot, DLNA, Wi-Fi Direct
- Bluetooth: Version 4.0, A2DP, LE
- Upatikanaji wake: Septemba 2016
Umbo
- Urefu na upana: -mm 160 X 83.46 X7.7
- Uzito: –
DISPLAY
- Aina: FHD Display cha mguso (touchscreen)
- Size: inchi 6.0 (1920 X 1080 pixels (~401ppi pixel density))
- Multitouch: Ndio
- Usalama wa kioo: – Corning Gorilla Glass 3
SAUTI
- Loudspeaker: Vibration, MP3 ringtones
- 3.5mm jack: Ipo
MEMORI
- Eneo la memori kadi: Sehemu ya moja ya laini inaweza tumika kwa kusomea memori kadi pia
- Ujazo (Storage): GB 64
- RAM – GB 4
PLATFORM
- CPU: Quad-core 2.0GHz
- GPU: –
- Processors:Helio X20
- OS: Android 6.0 Marshmallow
KAMERA
- Kuu: MP 21, phase detection autofocus, LED flash
- Teknolojia za kamera: Geo-tagging, touch focus, face detection, HDR, panorama
- Video: Ndio
- Ya selfi: MP 8, LED flash
BETRI
- mAh 4050