Tecno watambulisha simu za Tecno Phantom 6 na 6 Plus na wametangaza rasmi kuanza kupatikana kwa simu zao katika nchi nyingi zaidi ya bara la Afrika tuu.
Je kuna sifa gani za ndani za Phantom 6? Hizi ndio sifa kuu za simu hiyo;
Tecno Phantom 6
Teknolojia za mawasiliano
- GSM: 850 / 900 / 1800 / 1900
- 3G: 850 / 900 / 1700 / 1900 / 2100
- 4G: LTE 3/7/20
- SIM: Laini mbili
- WiFi: Wi-Fi 802.11 b/g/n, Wi-Fi hotspot, DLNA, Wi-Fi Direct
- Bluetooth: Version 4.0, A2DP, LE
- Upatikanaji wake: Septemba 2016
Umbo
- Urefu na upana: -151.5 X 75.5 X6.15mm
- Uzito: –
DISPLAY
- Aina: AMOLED cha mguso (touchscreen)
- Size: inchi 5.5 (1920 X 1080 pixels (~401ppi pixel density))
- Multitouch: Ndio
- Usalama wa kioo: – Corning Gorilla Glass 3
SAUTI
- Loudspeaker: Vibration, MP3 ringtones
- 3.5mm jack: Ipo
MEMORI
- Eneo la memori kadi: Lipo, na unaweza weka memori kadi ya hadi GB 128
- Ujazo (Storage): GB 32
- RAM – GB 3 GB
PLATFORM
- CPU: Quad-core 2.0GHz
- GPU: –
- Processors: MediaTek
- OS: Android 6.0 Marshmallow
KAMERA
- Kuu: MP 13, phase detection autofocus, LED flash
- Teknolojia za kamera: Geo-tagging, touch focus, face detection, HDR, panorama
- Video: Ndio
- Ya selfi: MP 5, LED flash
BETRI
- mAh 2700
SOMA PIA – Sifa za Undani – Simu ya Tecno Phantom 6 Plus