Ifahamu Tecno Camon CX (Toleo La Manchester City), Sifa Na Uwezo! #Uchambuzi

0

Sambaza

Tecno ni kampuni kubwa sana katika kutengeneza na kuuza simu, mara zote simu zake zimekua ni mkombozi mkubwa kwani unapata kitu kizuri kwa gharama ndogo.

Baada ya fununu nyingi kuvuja kuwa Tecno wanakuja na simu janja kali kwa kushirikiana na klabu kubwa ya mpira wa miguu duniani ijulikanayo kama Manchester City, kifaa kimeingia sokoni

Simu Ya Tecno Comon CX Toleo Maalamu La Man City

Kusoma Kuhusu Fununu Hiyo Ingia Hapa

Toleo la simu jipya kutoka tecno (Tecno Camon CX Toleo la Man City) litakua linapatikana kwa muda fulani tuu. Hili litakua ni toleo la kupita kulingana na jinsi muungano wa pande mbili hizo ulivyo

SOMA PIA:  Facebook yashindwa kesi kuzuia kushtakiwa

SIFA ZAKE ZA NDANI

KAMERA :

 • Kamera ya mbele inapiga picha kali kwani ina  MP 16, Pia ina uwezo mkubwa wa kupiga picha katika mwanga mdogo kwani ina flashi mbili kwa pale mbele ambazo zitakusaidia kupata ‘selfie’ kali.
 • Kamera ya nyuma (pia MP 16) inapiga picha kwa uharaka zaidi. Hii inachukua sekunde 0.1 moja tuu kupiga picha kwa kutumia alama za vidole (finger print).
 • Uwezo wa kurekodi video

PROSESA :

 •  1.5GHz Octa Core Processor

KIOO :

 • 5.5 FHD IPS display

Muonekano Wa Mbele Na Nyuma Katika Simu Hii

RAM :

 • GB 4

UjAZO :

 • Ujazo wa uhifadhi wa ndani ni GB 64.
 • Unaweza ukaongezea ujazo wa nje (Memori kadi) kama ukipenda
SOMA PIA:  Maana ya "i" kwenye bidhaa za Apple #Teknolojia

NETWORK :

 • Insapoti mpaka teknolojia ya 4G yenye kiwango cha juu.

BETRI :

 • Uwezo wa betri ni 3200 mAh

OS :

 • Program endeshaji ni Android 7.0 Nougat ikiwa na HiOS

Mchezaji Akiwa Ameshika Simu Ya Comon CX Toleo Maalamu La Man City

SIFA ZINGINE:

 • Uwezo wa alama za vidole (fingerprint)
 • Uwezo wa kujaza chaji kwa haraka (“Light Speed” Charging)

Simu hii inapatikana katika maduka yote ambayo yanauza vifaa halali vya kampuni ya Tecno au kwa maulizo zaidi ingia hapa

Ningependa kusikia kwako? baada ya kuona sifa hizi za simu hii? unafikiria kuwa nayo? niandikie hapo chini sehemu ya comment.

Kumbuka Kutembelea Mtandao Wako Pendwa Wa TeknoKona Kila Siku Kwani Daima Tupo Nawe Katika Teknolojia!.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
airtel hatupimi bando
Share.

About Author

Mhariri Wa Teknokona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Tuikuze TeknoKona Wote Basi. Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com