Kampuni nguli ya kutengeneza na kuuza simu, Apple imeweka wazi kuwa iOS 11 itaanza kupatikana rasmi tarehe 19 mwezi september mwaka 2017.
Baadhi ya vipengele ambavyo vitakuwepo katika iOS Hiyo vinajulikana na hii ni kutokana na wale ambao walikua wanatumia toleo la iOS 11 la Beta (la majaribio)
Kama ulikua unasubiria kwa hamu iOS 11 baada ya kusoma ‘MaelezoNaPicha’ unaweza ukasema siku haziendi kabisa kwani kuna vipengele vya aina yake.
TAZAMA ‘MaelezoNaPicha’ HAPA CHINI
iOS 11 ina sifa nyingi sana na vipengele vingine vingi zaidi vimeongezwa. Katika MaelezoNaPicha hapo juu vimeongelewa kwa kifupi vipengele vichache tuu japokua vipya viko vingi.