Airbus A300-200; Ndege ambayo haijaacha nyuma suala la teknolojia

Airbus A300-200; Ndege ambayo haijaacha nyuma suala la teknolojia

0
Sambaza

Shirika la ndege la Rwanda, Rwandair, limezidisha ushindani katika uchukuzi wa ndege Afrika Mashariki na Kati kwa kununua ndege aina ya Airbus A300-200 iliyoitwa “Ubumwe” (Umoja).

buy augmentin xr online

Ndege hiyo ilizinduliwa kwa mara ya kwanza kwenye uwanja wa kimataifa wa Kanombe, Kigali. Kabla ya kufika Kigali, ndege hiyo ilitua uwanja wa ndege Entebe na kupokewa na viongozi ya kidiplomasia pamoja na mapokezi ya hadhi ya juu kwa ndege mpya. Hivyo basi ndege hiyo  itawezesha shirika hilo kufika masoko ya Ulaya na bara Asia.

Mapokezi ya ndege wakti ilipotua uwanja wa ndege wa Entebe

Mapokezi ya ndege wakati ilipotua uwanja wa ndege wa Entebe

Ukiwa angani ndani ya ndege hii unaweza kupiga simu, kupata ujumbe wako wa simu, ujumbe wa barua pepe, ujumbe wa WhatsApp na mawasiliano mengine na kabla ya ndege hiyo hakukuwepo ndege nyingine yoyote yenye uwezo huo.

Muonekano wa ndege aina ya Airbus A300-200 sehemu ya marubani

Muonekano wa ndege aina ya Airbus A300-200 sehemu ya marubani

Ni ndege iliyotengenezwa nchini Ufaransa na kununuliwa kwa kitita cha dola milioni 200 za marekani|zaidi ya Tsh bil. 436.8. Ndege hiyo inaifanya Rwanda mpaka sasa click kuwa na ndege 9 na nne nyingine zikitarajiwa kufika mwishoni mwa mwezi Feb mwakani.

Ndege aina ya Airbus Airbus A300-200

Ndege aina ya Airbus Airbus A300-200.

Safari ya kwanza ya ndege hiyo inatarajiwa kufanyika wikendi ijayo tarehe 8 Oktoba kuelekea mjini Dubai. Mbali na Rwanda http://screwsucker.com/case_studies/ hakuna nchini nyingine yoyote katika ukanda wa Afrika Mashariki/barani Afrika yenye ndege kama hiyo.

INAYOHUSIANA  Sababu 5 kwanini ndege inapata ajali

Una maoni yoyote kuhususiana na hili? Niandikie maoni yako katika sehemu ya comment.

Kumbuka kusambaza makala na pia kuungana nasi kupitia Facebook, Twitter, Instagram, YouTube, Telegram na Google Plus

Vyanzo: BBC, newtimes.co.rw

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

Comments are closed.