Airtel Care - App inayorahisisha huduma mbalimbali kwa wateja wa Airtel - TeknoKona Teknolojia Tanzania

Airtel Care – App inayorahisisha huduma mbalimbali kwa wateja wa Airtel

0
Sambaza

Watumiaji wengi siku hizi wanatumia simu za kisasa na hivyo hukamilisha mambo mengi kupitia apps na hapa ndio umuhimu kwa mitandao ya simu kuwa na app ya kusaidia wateja wao kukamilisha mambo mbalimbali unakuja. Airtel wana app ya Airtel Care.

http://wallacespuds.com/?p=2177 Airtel Care ni app ambayo itakusaidia kukamilisha mambo mbalimbali bila uhitaji wa kutumia njia ndefu na ya kusubiri subiri ya kutumia zile namba spesheli kwa ajili ya ununuaji vifurushi n.k.

follow link Airtel care app

  • Unaweza kuona vifurushi mbalimbali na kujiunga moja kwa moja kupitia app hii. Pia app itakuwa inatumia njia ya ‘notifications’ kukukumbusha pale kifurushi chako kinakaribia kuisha au kufikia muda wake wa mwisho kutumika.
  • Unaweza kutuma muda wa maongezi kwa mtumiaji mwingine wa Airtel
  • Pia huduma za Airtel Money pia zinapatikana ndani yake
  • Kingine ni uwezo wa kujiunga na kusitisha huduma mbalimbali za ziada ambazo umejiunga nazo.
  • Pia unaweza pata huduma kwa wateja kupitia kitengo chao moja kwa moja kupitia app hii.
INAYOHUSIANA  Bios Cube: Majivu ya marehemu kutumika kukuza mmea

where can i buy dapoxetine in usa Haya ni machache tuu niliyoweza kuyataja baada ya kutumia app hii kwa muda wa wiki kadhaa ila vitu vinavyoweza fanyika kwa kutumia app hii ni vingi tuu kwa wateja wa aina zote: wale wa malipo baada na malipo kabla.

Kwa ufupi zaidi app hii ni app inayokuletea huduma za ‘customer care’ mikononi mwako kwa urahisi zaidi na pia inaweza kukusaidia kuacha kukariri namba fupi (code) nyingi za huduma mbalimbali kama vile za kujiunga vifurushi na kadhalika.

App hii inapatikana kwa watumiaji wa aina zote, wa Android – Google Play Store na wale wa iPhone kupitia AppStore

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Comments are closed.