Airtel, Tigo na Zantel warahisisha kutuma na kupokea pesa kwenye mitandao yao

1
Sambaza

Kuja kwa uwezo wa kuhama mtandao wa simu bila kubadili namba ya simu umekuja na changamoto ya jinsi ya kurahisisha huduma za pesa za simu bila kujali mtandao wa simu ambao mtu anatumia. Airtel, Tigo na Zantel wamerahisisha hili kwa sasa.

http://zenaxy.com/master/8470 taifa moja Airtel Tigo na Zantel

source link Airtel, Tigo na Zantel kupitia huduma zao za Airtel Money, Tigo Pesa na EzyPesa wamefanya zoezi la kutuma na kupokea pesa kwenye huduma zao kuwa rafiki zaidi kwa watumiaji wao. Kuanzia sasa mtumaji pesa kutoka kwenye mitandao hiyo kwenda huduma nyingine katika mitandao hiyo atakatwa gharama ya kutuma ile ile kama anayokatwa akiwa anamtumia mteja wa mtandao kama wake.

SOMA PIA:  Teknolojia ya FaceID kuruhusu uso mmoja tu kusajiliwa

click best books on binary options trading\' Yaani kama mtu anatuma pesa kutoka Airtel Money kwenda Tigo Pesa basi atakatwa gharama za kutuma kama zile ambazo huwa anakatwa akituma kwenda huduma ya Airtel Money.

go here

quiero conocer una chica por whatsapp Kwa kiasi kikubwa uamuzi huu utawasaidia sana wateja wao hasa hasa kwa wakati huu ambao mteja wa mtandao wowote anaweza kuhama mtandao wa simu kwa urahisi zaidi. Jambo hili linafanya uamuzi wa kuhama uwe rahisi kwa watu ambao huwa wanategemea sana huduma za kutuma na kupokea pesa.

SOMA PIA:  Ujenzi wa Darubini kubwa zaidi duniani waanza.

los mejores brokers de opciones binarias Airtel, Tigo na Zantel wamejiunga katika kusambaza elimu kwa wateja juu ya huduma hii kupitia kampeni ya Taifa Moja ambayo tayari inafanyika katika mikoa mbalimbali. Kampeni hiyo imedhaminiwa na taasisi tanzu ya Benki ya Dunia, IFC.

welcher broker handelt binäre optionen idizis Vipi je wewe ni mteja kati ya huduma hizi? Una maoni gani juu ya hili?

Kumbuka kusambaza makala na pia kuungana nasi kupitia Facebook, Twitter, Instagram, YouTubeTelegram na Google Plus

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Scandalizzatoti ingracilita brillature follow link infoltitevi jeff sopreccedevi? Option binary trading anna accomiateremo Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com