Apigwa faini ya takribani Tsh 860,000 kwa kukataa kurudisha fedha alizotumiwa kwa M-Pesa

0
Sambaza

Ukipokea pesa kwa njia ya simu kimakosa ni bora kuzirudisha kwa aliyekutumia au unaweza jikuta katika mikono ya sheria na kuishia kulipa pesa nyingi zaidi.

here

watch Mwanamke mwenye umri wa miaka 45 amepigwa faini ya Shilingi za kenya 40,000(sawa na shilingi za kitanzania 866,248) na mahakama ya Embu au atumikie kifungo cha miezi sita gerezani kwa kukataa kurudisha Shilingi za Kenya 27,140 (sawa na shilingi za kitanzania 587,749) alizotumiwa kupitia kwa M-pesa kimakosa.

 mpesa kenya fedha alizotumiwa

see Apigwa faini ya takribani Tsh 860,000 kwa kukataa kurudisha fedha alizotumiwa kwa M-Pesa

http://www.ivst-vz.de/?debin=trading212-login Bi Margaret Njeri alipatikana na hatia ya kukataa kurudisha pesa hizo alizopokea kutoka kwa Bw Richard Mbui katika eneo la Muthatari, kaunti ndogo ya Embu Magharibi.

SOMA PIA:  Ripoti: Yaliyosakwa zaidi na Wakenya mwaka 2017 mtandaoni

برنامج خيار ثنائي تحميل مجاني Hakimu Mkazi wa Embu, Bi Julian Ndengeri, alielezwa jinsi Bw Mbui alivyotuma pesa kiasi cha shilingi 27,140 za Kenya kimakosa.

get link Bi Njeri alizitua pesa hizo mara moja baada ya kuzipokea na kisha akaanza kutopokea simu za Bwana Mbui.

click here Bw Mbui aliripoti kituo cha polisi ambapo wapelelezi walianzisha msako mara moja kwa kufuatilia maeneo ambako simu ya Bi Njeri ilikuwa ikielekea.

http://www.youngasianescorts.co.uk/?baletos=%D8%A7%D9%84%D8%AE%D9%8A%D8%A7%D8%B1%D8%A7%D8%AA-%D8%A7%D9%84%D8%AB%D9%86%D8%A7%D8%A6%D9%8A%D8%A9-%D8%AD%D8%B3%D8%A7%D8%A8-%D8%AA%D8%AC%D8%B1%D9%8A%D8%A8%D9%8A-%D9%85%D8%AC%D8%A7%D9%86%D8%A7-%D8%A8%D8%AF%D9%88%D9%86-%D8%A7%D9%8A%D8%AF%D8%A7%D8%B9&053=f9 Akitoa hukumu yake, Bi Ndengeri alisema ushahidi uliowasilishwa mahakamani ulithibitisha kuwa Bi Njeri aliiba pesa hizo.

SOMA PIA:  Safaricom yapigwa faini ya mamilioni kwa sababu ya huduma mbovu

Alipelekwa mahakamani mnamo Desemba 13, ambapo alikanusha mashtaka dhidi yake. Kutoka katika faini ya Sh40,000 za Kenya, Bw Mbui atapewa Sh27,000 kisha zilizosalia zitawasilishwa kwa serikali.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

ferox trading Ni mpenzi na mfuatiliaji wa mambo ya Sayansi na Teknolojia.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com