App ya Instagram kuja na muonekano mwingine

0
Sambaza

Muonekano mpya wa app ya Instagram ulio njiani kuanza kusambaa kwa watumiaji wa app hiyo waanza kupatikana kwa baadhi ya watumiaji wa app hiyo.

Kwa muda mrefu app ya Instagram haijafanyiwa mabadiliko yeyote makubwa ya kimuonekano tokea ujio wake na sasa inaonekana mabadiliko yanakuja.

Angalia picha zinazoonesha muonekana huo mpya uliombioni kupatikana kwa watu wote… see url Je unadhani kuna umuhimu wowote wa kubadilisha muonekano huo?

Muonekano wa Instagram

Muonekano huu tayari umesukumwa kwenye updates za watu wachache huku wenyewe Instagram wakisoma maoni ya wale wanaopata app hiyo katika muonekano huu. Inasemekana kama utafurahiwa na watumiaji wengi basi muda si mrefu utapatikana kwa wote.

INAYOHUSIANA  Vitu vipya kwenye WhatsApp safari hii

enter site Ingawa ni muonekano mzuri ila kwa kiasi kikubwa unaleta mabadiliko makubwa sana ya kimuonekano kwa watu ambao wametumia app hiyo kwa kipindi kirefu.

instagram kuja na muonekano

Unamaoni gani juu ya mabadiliko haya?

Picha na mtandao wa PhoneDog

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Comments are closed.