App ya m-paper Yafika rasmi kwa Watumiaji wa iOS (iPhone na iPad)

0
Sambaza

Je umesikia kwa muda mrefu kuhusu app ya m-paper inayokuwezesha kununua na kusoma magazeti ya Tanzania kwa urahisi kwenye simu yako ila umeshindwa kutumia kwa kuwa hautumii Android?

Sasa fahamu rasmi ya kwamba app ya m-paper imeanza kupatikana rasmi kwa watumiaji wa iPhone na iPad.

app ya m paper kwa iOS

m-paper kwa iOS

App ya m-paper inakupa faida kadhaa kama vile;

airtel tanzania bando

  • Kubakia na nakala za magazeti yote unayoyanunua ili uweze kuyasoma tena muda wowote
  • Pia unanunua kwa bei nafuu zaidi
  • Ata unapokuwa mbali na eneo liuzalo magazeti bado hautapitwa na chochote
SOMA PIA:  Wateja wa mtandao wa Smile: Majanga ya huduma na tetesi za kufunga kampuni

Unaweza ipata app hiyo rasmi kupitia soko la apps la iOS. -> App Store | Watumiaji wa Android -> Google Play

Je umeshawahi kutumia app hii?

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com