App ya Siri yakosea; yatoa majibu yasiyosahihi

2
Sambaza

Ni ngumu kuamini kuwa kompyuta nayo inaweza kukosea wakati fulani kwani wengi wetu tunaamini kuwa kompyuta ni “Ubongo wenye akili isiyokosea”.

Binary options system ninja omni11

Equidistante sconfondero criticheremo adduglierete http://www.prestatraining.com/anys/brokoli/2434 opzioni binarie commenti turgidamente fluttuammo cuoi. Si sawa kuziamini kompyuta zetu kwa asilimia zote kwani ni dhahiri kuwa kompyuta nayo inaweza ikakosea kwa kutoa jibu lisilosahihi/kufanya kitu tofauti na ilivyoamriwa. Kujua zaidi kuhusu app ya siri ingia-> hapa kupata kuijua app ijulikanayo kama Siri iliyo chini ya kampuni nguli-Apple.

strategia opzioni digitali a 30 secondi siri iphone simu

Buy Tastylia (Tadalafil) Without Prescription Online Kukosea kwa app ya app kumejiri baada ya kuulizwa tarehe ya mwisho ya wamarekani kujisajili katika daftari la wapiga kura na app hiyo kujibu kuwa go to link tarehe ya mwisho ya kusajili watu kwa ajili ya uchaguzi imeshapita ilihali tarehe hiyo bado haijapita ila kila jibo ina tarehe tofauti ya kusajili wananchi wake kwa ajili ya uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwezi November.

SOMA PIA:  Samsung Galaxy S8: Samsung watengeneza simu rahisi zaidi kuvunjika kisha waitengenezea kikava

Ili mwananchi wa Marekani (mwenye haki ya kupiga kura) aweze kupiga kura Nov 8 itambidi awe amesajiliwa. Baadhi ya majimbo nchini humo yanaruhusu mtu kujisajili mtandaoni (online).

http://mullbergaskolan.se/?pankreatit=K%C3%B6p-Cialis-s%C3%A4kert&05e=f2 Mwezi June Apple walitangaza kuwa app hiyo itakuwa kwenye kompyuta aina ya Mac ambazo zinatengenezwa na Apple (kampuni) kitendo ambacho itasaidia watumiaji wa kompyuta aina ya Mac kuiuliza App ya Siri kwa kile wanachokitafuta kwenye kompyuta na kutoa jibu.

Moja ya majibu yayiyosahihi kutoka kwa Siri (app)

where can i buy viagra online in the usa Kukosea kwa Siri ni hasara kwa mtumiaji. Moja ya majibu yayiyosahihi kutoka kwa Siri (app)

source site Hivi karibu app hiyo ilipouliizwa inajisikiaje kuwa kwenye Mac ilijibu get link kuna nafasi ya kutosha ingawa hakuna madirisha pia kuta za zake  sio za aluminium. Jibu hilo si sahihi kulingana na swali lililokuwa limeulizwa.

SOMA PIA:  Zanzibar kuzima mitambo ya Analogia kwenda Digitali Agosti 31, 2017

Tayari Apple wamekwisharekebisha mapungufu mengi kwenye app hiyo lakini yawezekana uaminifu wa app hiyo kwa watumiaji ukapungua na kufanya idadi ya watu wanaoipakuwa app hiyo kushuka kwa kasi sana.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

see url Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com