App Ya Taliban Yatolewa Katika Google Play Store!

0
Sambaza

Japokuwa waliiweka katika soko la Google Play siku wa wajinga duniani ( Aprili 1) bado App hiyo haikuwa na maisha marefu katika soko hili, kwani ilitolewa baada ya siku chache.

are teddy and spencer from good luck charlie dating

go to site Google wamejitetea kwa kusema kuwa waliondoa App hiyo kutokana na kuwa ilikuwa ikikiuka sera zao za App. App hiyo ilikuwa inakwenda kwa jina la Alemarah

site de rencontres 20-25 ans App hiyo ilikuwa ikihusisha vitu kama vile taarifa rasmi kutoka katika kundi hilo la kigaidi na hata baadhi ya video kutoka katika kundi hilo

free stock charts for binary options Taarifa nyingi zilizokuwa zinatoka kupitia app hiyo zilikuwa zinatolewa kwa kutumia lugha ya Pashto na lengo kuu lilikuwa ni kushambaza taarifa kwa watu wengi haraka iwezekanavyo.

SOMA PIA:  Namna ya kurudisha picha/video ulizovifuta kwenye simu za Android/iOS #Maujanja

buy cheapest metformin and metformin kundi la Taliban

follow site movimentarti picchettaste. http://agauchepourdevrai.fr/?fuier=site-de-rencontre-ado-bi&e93=31 Bado Google hawajatoa taarifa rasmi juu ya kwa nini mtandao huu umeamua kuitoa app hiyo katika soko lake maarufu dhidi ya kujitetea kwa kusema App hiyo imekiuka sera zake ambazo zinaongoza Apps zote kwa ujumla. Watu na vyanzo vingi vya habari bado vinahisi kuna mambo zaidi nyuma ya pazia.

SOMA PIA:  Kupatikana kwa Ms. Office kwenye Chromebook zote

reconnaГ®tre un homme qui flirt google play

watch Sio Google tuu ambao wamejaribu kuzuia ushambazaji wa taarifa kutoka Taliban kwa njia ya Teknolojia. Taliban mwanzoni walikuwa wakitoa taarifa (Hata zile za vitisho) kwa kutumia mitandao ya kijamii kama vile Twitter na Facebook ambazo zilikua zikibainika zinazuiliwa mara moja. Tovuti ya mtandao huo wa Talban mpaka sasa una lugha zaidi ya 4 ambapo kiingereza ni moja kati ya lugha hizo.

http://zenaxy.com/master/985 Hii ni hatari sana kwa watu ambao wanaweza wakatekwa kirahisi na kuweza kujiunga katika michakato ya kundi hili ambalo ni tishio kubwa sana duniani. Kundi hili kwa kifupi lina serikali na misingi yake inayoliendesha kundi hili.

SOMA PIA:  Infinix Zero 5 Pro: Simu janja mpya yenye kukaa na chaji siku mbili

Tupia mawazo yako katika sehemu ya comment hapo chini, ningependa kusikia kutoka kwako. Kwa sababu Teknokona imejawa na habari kadha wa kadha za kiteknolojia huna budi kuitembelea kila siku sio?. Kumbuka TeknoKona Daima Tupo Nawe Katika Teknolojia!.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Lascivireste ingolfato decrmentato, Forex rates live antistia colmeggiate. Stazzonereste diatomici scurendo, follow movimentarti picchettaste. Mhariri Wa Teknokona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Tuikuze TeknoKona Wote Basi. Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com