App ya Wiki: Brick Game, Inakukumbusha Enzi Zile

0

Kama kuna gemu ambalo limechezwa sana na watoto na vijana wa miaka ya 90 basi ni ‘Brick Game’. Toleo la gemu hilo kwa ajili ya simu za Android na iPhones linapata umaarufu sana kwa sasa, na kama ulishachezaga gemu hili miaka ile ya nyuma basi unajua ni jinsi gani kupata nafasi ya kujikumbusha tena ni jambo la kuvutia na kufaraisha sana.

Tutta la Informazione di 3t - Turian go here S.r.l. di Porcia (Friuli-venezia Giulia). Telefono, indirizzo, vendite, impiegati, società equilibrio Magemu mengi yanayopata umaarufu siku hizi kwa watumiaji wa simu ni magemu yaliyoraisi kueleweka na pia yenye kuitaji ujanja kufanikiwa, na Brick Game ni moja wapo. Unachotakiwa kufanya ni kupanga matofali yanayokuja kwenye maumbo tofauti tofauti na kuhakikisha unavunja misingi kabla ya ukuta unaojengeka kufika juu. Watengenezaji wa gemu hili wamejitahidi sana katika kuhakikisha unaendelea kupata muonekano kama ule wa zamani.

advice dating a divorced man Je wewe ulicheza gemu ili miaka ileee? Tuambie ilikuwa miaka gani? Kushusha gemu ili kwenye simu yako bofya -> Android | iOS

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Share.

About Author

http://www.tentaclefilms.com/?yutie=best-binary-options-broker&b72=1c Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Leave A Reply

Smash day - Tecniche di Trading. arrondir fins de mois youtube demo opzioni binarie Il lettore avrà, finalmente, la possibilità di accedere ai segreti dei più

source

option web

click here

http://missionnorman.org/emiios/6166

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com