App Za Kushusha Mafaili ‘Torrents’ Katika Vifaa Vya Android!

0
Sambaza

Android imebadilisha na kuboresha mambo mengi katika simu zete. Licha ya kuwa programu endeshaji inayotumika sana duniani katika simu zetu kwa sasa, bado kuna mambo kibao tunaweza kufanya kupitia Android. Kaa name kujua njia mbali mbali ambazo utaweza kushusha mafaili ya torrent kupitia Android.

click
Tumeshaona mambo mengi ambayo kompyuta zetu zinaweza kutufanyia sio? Ukiniuliza kwa sasa ntakuambia wana teknolojia kwa kiasi kikubwa wanatak akuigeuza simu janja kuwa ndio kompyuta yako.
Kuna kipindi ilikua ukitaka kushusha mafaili ya torrent ilikuwa ni lazima utumie kompyuta yako. Leo TeknoKona inakuletea App kibao ambazo unaweza ukazitumia katika kifaa chako kushusha mafaili ya Android. Hebu fikiria unaweza ukashusha filamu nzima kwa kutumia simu yako tuu

alexa vega dating history App zifuatazo ndizo zinaweza zikakuwezesha kushusha mafaili ya torrent katika kifaa chako

http://www.siai.it/?ityies=imparare-trading&d18=22 1. tTorrent:

SOMA PIA:  Fahamu kwanini Miezi minne baada ya kuzinduliwa, Android Oreo bado haijasambaa.

do you have to wean off premarin Hii ni moja kati ya App bora kabisa ambazo zinaweza kukuwezesha kushusha mafaili ya Torrent katika kifaa chako cha Android. App hii inatoa huduma nyingi kama vile kushusha faili zaidi ya moja kwa wakati mmoja. Toleo la App hii la bure linawezesha mtu kushusha faili kwa spidi ya 250 kbps. Kama utataka kushusha mafaili kwa spidi kubwa basi huna budi kupakaua toleo la kulipia la App hiyo

here App imepata Sifa Ya Nyota: 4.5 kati ya 5
Shusha Hapa Kupitia Google Play: Bofya Hapa

extroverts and introverts dating 2. uTorrent (toleo la simu)

http://big-balloon.nl/begrafenissen?s= kitu kizuri kutoka uTorrent ambacho hakipo katika tTorrent ni kwamba hapa hautapata tabu katika spidi. Yaani hakuna kikomo cha spidi, spidi itategemeana na intaneti yako katika kushusha mafaili.
Unaweza ukashusha mafaili mengi sana ya torrent kwa kupita App hii katika spidi nzuri tuu. App hii ina huduma kama vile za kutafuta (search) na pia utumiaji wa WiFi.

SOMA PIA:  WileyFox: Kampuni ya simu inayotaka kunufaika na uamuzi wa Uingereza kutoka EU

TOP go to site ⭐ lll Jetzt im IQ Schnelltest herausfinden, wie intelligent du bist! 100% kostenfrei ohne Anmeldung über 4 Mio. Teilnehmer App imepata Sifa Ya Nyota: 4.3 kati ya 5
Shusha Hapa Kupitia Google Play: Bofya Hapa

go 3. BitTorrent (Kwa Ajili Ya Simu)

flirt d'un mec Licha ya kuwa Programu moja maarufu sana ya kushusha mafaili ya torrent katika kompyuta, bado imepiga hatua na kuwa katika simu janja pia. Watumiaji wa simu na vifaa vingine vya Android wanaweza wakatumia App hii katika kushusha mafaili ya torrent.

http://www.cilentoescursioni.it/?kiskwa=opzioni-binarie-60-media-mobile&16c=0c App imepata Sifa Ya Nyota: 4.2 kati ya 5
Shusha Hapa Kupitia Google Play: Bofya Hapa

4. Torrentex

Hii pia ni App ambayo inamuwezesha mtumiaji wa Android kuweza kushusha mafaili ya Torrent kwa urahisi kabisa. Hii inatoa huduma kwa wana Android na pia mafaili yanawezwa shushwa katika spidi kubwa tuu. Vipengele vilivyopo ni kama kile kinachojulikana sana kwa watu wa wapenzi wa mafaili ya torrent kinachojulikana kama ‘magnetic link’

SOMA PIA:  Simu janja za Android ni nyingi lakini si zote zitakazopata sasisho la Android P

App imepata Sifa Ya Nyota: 4.4 kati ya 5
Shusha Hapa Kupitia Google Play: Bofya Hapa

5. aTorrent

TeknoKona inakuletea hii kama ya mwisho kwa leo – hatutaishia hapa lakini – aTorrent na yenyewe inakupa uwezo wewe mtumiaji wa Android. Inatoa huduma kibao kama vile uwezo wa kutafuta (search), ‘magnetic link’, uwezo wa WiFi, kusimamisha kwa muda na kendelezea mafaili ambayo yanashuka. Katika toleo hii unaweza ukaona matangazo mbali mbali kutoka kwa watangazaji mbalimbali

App imepata Sifa Ya Nyota: 4.4 kati ya 5
Shusha Hapa Kupitia Google Play: Bofya Hapa

Kwa leo TeknoKona imekuandalia hayo kwa leo, maujanja mengi zaidi utazidi kuyapata kuwa na subira tuu

Niambie ni ipi umeipenda sana hapo au ni ipi ambayp hapo hatujaiweka na wewe unaijua, niandikie sehemu ya comment hapo chini. Kumbuka TeknoKona Daima Tupo Nawe Katika Teknolojia!.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Mhariri Wa Teknokona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Tuikuze TeknoKona Wote Basi. Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com