Apple Mbioni Kuja Na Teknolojia Ya 5G! - TeknoKona Teknolojia Tanzania

Apple Mbioni Kuja Na Teknolojia Ya 5G!

0
Sambaza

Kama kawaida yao Apple ni kampuni ambalo lipo mstari wa mbele katika kubuni vitu mbali mbali ambavyo kwa namna moja au nyingine vitamfanya mteja wao anaendelee kubaki kwao.

get link

buy half inderal la 80mg Taarifa zilizopo ni kwamba kwa sasa kampuni hiyo iko mbioni kufanya majaribio ya teknolojia ya 5G huko nchini marekani.

Teknolojia ya 5G itakuwa ni ya kisasa zaidi ukilinganisha na hii inayosumbua kwa sasa (4G LTE). Kwa tanzania nimebahatika kutumia teknolojia ya 4G LTE za makampuni mengi kama vile kutoka katika kampuni ya simu ijulikanayo kama Smart ambalo lina vivurushi ya bei rahisi kabisa

Kwa teknolojia hii ni wazi kabisa kuwa kampuni ya Apple inayo dhamira ya kuimajiimarisha zaidi katika swala zima la kuunganisha na mtandao (connectivity)

Moja ya maonyesho ya Apple

Majaribio hayo yatafanyika katika maeneo mawaili nchini marekani na baada ya hapo kulingana na majibu yatakayopatika ndipo tutapojua mengi kuhusiana na teknolojia hii

INAYOHUSIANA  Ifanye akaunti yako ya YouTube ikuingizie pesa

Lakini bado kumbuka Apple sio kampuni pekee ambalo linajikita katika kuja na teknolojia yenye kasi zaidi kuachana na 4G LTE. Kuna makampuni mengi ambayo yanafanya juu chini kuhakikisha kuwa yanaleta mapinduzi hayo.

Hii imekaa poa sana kwa kampuni ya Apple kwani itawaongezea sifa nyingi sana juu ya vifaa vyao.

Niambie hii imekaaje? ningependa kusikia kutoka kwako, niandikie hapo chini sehemu ya comment

Kumbuka TeknoKona Diama Tupo Nawe Katika Teknolojia!.

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Mhariri Wa Teknokona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Tuikuze TeknoKona Wote Basi. Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

Comments are closed.