Apple yapata pigo baada ya taarifa kuhusu bidhaa zake kuvuja

0
Sambaza

Uvujishaji wa taarifa mbalimbali ni tatizo linalozikumba sekta mbalimbali hasa upande wa teknolojia kutokana na sekta hiyo kuwa na mvutano mkubwa wa kibiashara pamoja na sababu nyingine kadhalika.

dating stadtallendorf

lieu rencontre cergy Apple wanatambulisha  see url iPhone 8 ikiambatana na iPhone 7s na 7s plus leo Septemba  12, 2017 lakini mambo yamekuwa si shwari baada ya taarifa nyeti kuhusu bidhaa mbalimbali kuvuja kabla ya siku ya uzinduzi.

apple yapata pigo

lowcost viagra iPhone 8

Taarifa zilizofichuliwa ni za simu ya iPhone X pamoja na ya simu mbili aina ya iPhone 8 na inadaiwa ndio uvujaji mkubwa zaidi kuwahi kutokea.

go here Hi ni mara ya pili katika kipindi cha miezi mitatu ambapo kampuni hiyo inajipata katika hali ambapo taarifa zake za siri zinafichuka.

http://celebritysex.cz/?triores=32-signs-you%27re-dating-a-keeper&9b8=d3 المحمول وسطاء الخيارات الثنائية Imebainika kuwa mtu asiyejulikana alichapisha anwani za iOS 11 zinazofahamika kama Golden Master (GM) ambazo zilifungua teknolojia katika kompyuta za Apple.

rencontre femme essaouira Hata hivyo taarifa kuhusu vifaa vipya vya Apple zlifichuliwa mwezi  Agosti na kuonekana uvujajaji huo ulifanyika kimakosa. Imedaiwa uvujaji huo wa taarifa kutoka Apple wa hivi majuzi ulikwa wa makusudi.

SOMA PIA:  Ifahamu Tecno Camon CX (Toleo La Manchester City), Sifa Na Uwezo! #Uchambuzi

Kuvuja kwa taarifa mbalimbali ni wazi kuwa kunaichafua kampuni husika jambo linaloweza kupelekea kutoelewana wenyewe kwa wenyewe ndani ya kampuni na ni ni wakati sasa kwa makampuni kuhakikisha inajidhatiti kuhakikisha taarifa hazivuji.

http://zenaxy.com/master/3406 Chanzo: BBC

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

follow site, Corsi operazioni binarie principianti. Recomendamos el uso de IE explorer, Fire Fox o Google Chrome para una mejor Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

opcje binarne gielda Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com