iCar; Apple yapewa ruhusa ya kufanyia majaribio magari yake yanayojiendesha yenyewe

0
Sambaza

Teknolojia na biashara ya magari yanayojiendesha yenyewe inakua kwa kasi sana. Tayari makampuni nguli kama vile Google, na Tesla yashafika mbali sana kwenye teknolojia hiyo, na sasa kampuni ya Apple imepata kibali cha kufanyanyia majaribio magari yake pia.

trader esperto opzioni binarie

source url enter Magari hayo ambayo yanatarajia kuleta ushindani kwa Google na Tesla ambao wamemtangulia Apple katika kujihusisha katika teknolojia na biashara ya magari yanayojiendesha yenyewe ambayo yanaonekana kukubalika.

aprire un conto in 24option com Magari hayo yatafanyiwa majario katika jiji la California na kwa sheria za jiji hilo ni lazima dereva awepo ndani ya gari wakati wa majaribio ili kama chocohote kikienda mrama aweze kusaidia.

apple yapewa ruhusa

forex bank valutaomvandlare Gari linakijiendesha lenyewe kutoka Apple maarufu kama iCar

go to link Apple wana imani kwamba teknolojia ya magari yanayojiendesha yenyewe yatasaidia kupunguza msongamano wa magari barabarani lakini pia yatasaidia kuepusha vifo vya watu kutokana na ajali za barabarani. see url Kibali cha Apple kinahusisha magari yote ya Lexus 2015, RX 450h, hybrid SUVs pamoja na madereva sita.

SOMA PIA:  Mac Pro iliyoboreshwa na yenye nguvu zaidi kutoka Apple

Video forex strategies Katika hali ambayo kampuni nguli kama Apple inataka kufanya vyema imewekwa wazi kwamba wamewekeza sana katika utengenezaji wa magari yanayojiendesha yenyewe pamoja na mafunzo kuhusu mashine

go to site Moja ya magari yanayojiendesha yenyewe kutoka Tesla

see Mbali na Apple kuwa na kibali cha kufanyia majaribio magari yake makampuni mengine pia yana vibali cha kufanya majaribio katika jiji la California ambayo yanajumuisha Ford, BMW, General Motors, Tesla, Volkswagen.

Va home loan cash back Vyanzo: The Guardian, mitandao mbalimbali.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

free binary options signals Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com