Apps mbalimbali katika simu moja kwa akaunti mbilimbili

0
Sambaza

Wasomaji wetu wengi wa conocer chicas en ushuaia teknokona wamekuwa wakihitaji sana msaada wa kutaka kutumia akaunti mbilimbili za WhatsApp, Instagram, Facebook, Twitter, Snapchat, n.k katika simu moja.

http://www.accomacinn.com/?falos=bin%C3%A4re-optionen-handeln-lassen Mbinu za kuwa na akaunti mbili kwa programu moja zipo nyingi na zina maelekezo tofauti. Wengi wamekuwa wakilazimika kuweka programu tofauti tofauti kufanikisha malengo hayo.

follow url Utaona programu zote zilizopo kwenye simu yako, weka tiki programu unazotaka ziwe mara mbili, Ukishamaliza kuweka tiki bonyeza sehemu iliyoandikwa Add to Parallel Space.

http://dkocina.com/artefactos/sirius/isla/sci-sil-5-isla-900-m3h.html Aidha, wengine wamelazimika kuwa na simu zaidi ya moja ili kufanikisha kumiliki akaunti mbili za WhatsApp au Instagram ama Facebook. Leo tutakufahamisha kwa ufupi njia rahisi kufanya zoezi hilo la kuwa na programu aina moja kwa akaunti mbili.

binäre optionen 500 Utumiaji wa akaunti zaidi ya moja kwenye apps: Baadhi ya programu tumishi ambazo zinapatikana kwenye Parallel Space.

buy Lyrica online india Unachotakiwa kuwa na programu ambazo ushaziweka katika simu yako mfano WhatsApp, Instagram, Facebook, Twitter na pamoja na kuwa na progarmu hizo unaweza ukawa unahitaji kuwa na akaunti ya Instagram, Telegram na nyinginezo.

Unaweza kuamua ni programu ipi iwe mara mbili au la! Hatua za kufuata ni hizi zifuatazo:-

get link 1. Ingia Play store andika Parallel space, ipakuwe kisha ihifadhi (install). Ukishamaliza ifungue utaona programu zote zilizo kwenye simu yako,
2. Weka tiki programu unazotaka ziwe mara mbili. Ukishamaliza kuweka tiki bonyeza sehemu iliyoandikwa ‘Add to Parallel Space‘.

go to site Utaziona programu zote unazotaka ziwe mara mbili. Utafungua yoyote kati ya hizo na kuanza kuitumia (mfano kama WhatsApp utafuata hatua zote za kusajili akaunti yako nyingine).

what to expect on first dating scan http://www.elettrosmosi.it/?pifiods=grafico-candele-opzioni-binarie&f4a=8d Kumbuka: Unaweza kuweka icon ya programu husika iwe kwenye shortcut kwa kuishikilia na kuiburuza mpaka kwenye neno shortcut.

Njia rahisi ni kuingia Play Store na kupakuwa app inayoitwa go Parallel space, ina rangi tatu:- bluu, njano na nyekundu. Ukishaiweka programu hiyo itakuwezesha kuwa na programu ya pili ya kila uliyoweka katika simu yako.

SOMA PIA:  Safaricom yatangaza faida ya bilioni 55.3

Kumbuka zoezi hili ni kwa simu za mfumo endeshi wa Android tu na si vingivevyo. Na unaweza kuweka programu tumishi nyingine kuweza kutumia akaunti mbili tofauti na tulizozitaja. Kupakua programu ya http://vitm.com/vjUkr3-8T4T2VM3t4Q5e3_5P2V6r 5848/ Parallel Space bofya hapa.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Ni mpenzi na mfuatiliaji wa mambo ya Sayansi na Teknolojia.

Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com