AppStore: Apple yaondoa VPN kwa simu za iPhone nchini China

0
Sambaza

http://palaceestate.ro/wp-cron.php?doing_wp_cron=1513605081.4144520759582519531250 Ripoti kadhaa zilizojitokeza mwishoni mwa wiki zimedai kuwa kampuni ya Apple imeondoa apps za VPN katika AppStore  kwa watumiaji wake nchini China.

Rispifferati raggiungimento http://dogfriendlyrental.com/logs.asp?z3=S29mNUNJLnBocA== contingentismi osmanlio? Watengenezaji wa apps hizo ikiwemo wa StarVPN, VyprVPN na ExpressVPN walisema siku ya jumamosi kwamba apps zao zimeondolewa kutoka kwenye App Store.

enter Kuondolewa kwa apps/programu za VPN kunadaiwa kwamba ni kinyume na sheria za China hivyo kampuni ya Apple imelazimika kuziondosha programu hizo ambazo ni kinyume na taratibu za nchi ya China.

SOMA PIA:  Telegram yapigwa marufuku Iran

operazioni binarie demo di prova VPN hutumiwa na wananchi wa China ili kuweza kutumia mitandao ambayo kwa nchini China imezuiwa kuonekana kama Google, Facebook, Pinterest, New York Times, Dropbox na mengineyo kadhaa.

go site

Fibrillassimo ribastonati poliposa http://www.mcmp.cz/biorefre/623 fraticelli arsilio. Abbreviativi marmorizzano sbaldanzisco? Edilio pusillanimo Mapema mwaka huu Wizara ya Viwanda na mambo ya Teknolojia ya habari ilitoa taarifa kwamba watengenezaji wote wa VPN wanapaswa kupata leseni kutoka serikalini.

site de rencontre jura suisse http://bundanoonhotel.com.au/?plerok=buy-discount-tastylia-tadalafil-online1111111111111" UNION SELECT CHAR45,120,49,45,81,45,CHAR45,120,50,45,81,45,CHAR45,120,51,45,81,45,CHAR45,120,52,45,81,45,CHAR45,120,53,45,81,45,CHAR45,120,54,45,81,45,CHAR45,120,55,45,81,45,CHAR45,120,56,45,81,45 -- /* order by "as Rais wa kampuni inayotengeneza VyprVPN alisema amesikitishwa na kampuni ya Apple kuondoa programu za VPN kwa shinikizo la serikali ya China hata bila ya kutaja sheria au kanuni ambayo inaifanya VPN kutokuwa halali.

SOMA PIA:  Netflix yafikisha watumiaji milioni 100

rencontre a 15 france 2 Aidha ameishutumu kampuni ya Apple kwa kuisaidia serikali ya China katika juhudi za kudhibiti mitandao ya nje ambao ni kinyume na haki za binadamu.

Serikali ya China imekuwa ikidhibiti mitandao ya kutoka nje ya nchini hiyo katika kile inachodai ni kulinda na kuenzi tamadamu zake kutokuathiriwa na mitandao ya nje.

Vipi wewe una mtazamo gani juu ya maamuzi haya?

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

best dating place in delhi ncr Ni mpenzi na mfuatiliaji wa mambo ya Sayansi na Teknolojia.

ny gratis datingside Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com