#AppYaWiki, Tenbre : Tuzungumzie Bundesliga

0

Sambaza

Hata kama si mpenzi wa soka, ni lazima utakuwa umewahi kusikia majina ya vilabu vikubwa barani Ulaya kama vile Bayern Munich na Wolfsburg Germany. Hivi ni vilabu vikubwa vinavyoshiriki ligi kuu ya Ujerumani maarufu kama Bundesliga

Habari hii si kuhusu vilabu wala uchambuzi wa kisoka, lakini ni kuhusu jinsi unavyoweza kuitazama.

bundesliga

Katika pitapita zangu nimekutana na hii app, inaitwa Tenbre inatolewa na Startimes BURE. Unaweza kujiuliza, kuna uhusiano gani kati ya hii Tenbre na Bundesliga?

Ukiwa na app hii ya Tenbre unaweza kutazama Bundesliga kwenye simu yako mahali popote wakati wowote. Huu ndio uhusiano uliopo.

App ya Tenbre itakufanya usipetwe na chochote kinachoendelea katika Bundesliga

App ya Tenbre itakufanya usipetwe na chochote kinachoendelea katika Bundesliga

Kama mdau wa teknolojia na mpenzi wa mpira wa miguu niliona sio na wewe ufahamu njia hii rahisi ya kuweza kutazama Bundesliga mahali popote ulipo. Unaweza kuDOWNLOAD app hii kupitia hapa -> http://bit.ly/1iZxj3W bila gharama zozote. Tazama bundesliga BURE.

INAYOHUSIANA  Programu tumishi ya Facebook yazidi kutoswa

best site to buy nolvadex Je wewe unafahamu app gani nyingine nzuri kwa ajili ya kufuatilia michezo kama mpira? Tungependa kusikia kutoka kwako.

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Leave A Reply