Bill Gates ajiunga mtandao wa Instagram akiwa nchini Tanzania

Bill Gates ajiunga mtandao wa Instagram akiwa nchini Tanzania

0
Sambaza

Tajiri namba moja duniani na pia mwanzilishi wa kampuni ya Microsoft amejiunga rasmi na mtandao wa Instagram akiwa nchini Tanzania.

http://leahhenderson.com/speaking/

order Keppra pills Bill Gates akiwa ni mmoja wa watu mashuhuri zaidi katika sekta ya teknolojia alikuwa bado hajajiunga na mtandao wa kijamii wa Instagram.

http://ockidsdental.com/education/pulp-therapy-for-kids/ Kwa kiasi kikubwa tunategemea Bill Gates kutumia akaunti yake kwa ajili ya shughuli zake za kijamii

Uamuzi wake wa kujiunga katika mtandao huo akiwa nchini Tanzania umekuwa wa faida kwa nchi yetu kwani vyombo vya habari vya kiteknolojia vikubwa duniani kote vimeripoti jambo hilo, huku vichwa vya habari vingi vikiwa ni ‘Bill Gates ajiunga mtandao wa Instagram akiwa nchini Tanzania’.

Bill Gates ajiunga mtandao wa Instagram akiwa nchini Tanzania

Bill Gates ajiunga mtandao wa Instagram akiwa nchini Tanzania

Kwa kiasi kikubwa tunategemea Bill Gates kutumia akaunti yake kwa ajili ya kuonesha shughuli zinazohusiana na shirika lake la misaada ya kijamii – Bill & Melinda Gates Foundation.

INAYOHUSIANA  Facebook yalegeza masharti kuhusu matangazo ya sarafu za kidijitali

Je unataka kujua mengi kuhusu maisha yake na teknolojia?

Soma makala yetu hii – Mambo 16 Ya Ukweli Wa Kuvutia Kuhusu Bill Gates! 

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Comments are closed.