BlackBerry bado wanaimani katika Biashara ya Simu, Simu zingine Zinakuja

0
Sambaza

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya BlackBerry amesema bado wana imani katika biashara ya simu janja na tayari wapo njiani kuleta matoleo mapya mawili ya simu za BlackBerry zinazotumia Android.

binäre optionen demo spiel Mkurugenzi (CEO) wa BlackBerry akionesha simu ya BlackBerry Priv

demo di 24 option site rencontre local gratuit Kuna kipindi kampuni ya BlackBerry ilikuwa ndio mfalme katika matoleo ya simu janja ila muda ulibadirika na wakachelewa kukubali mabadiliko na hivyo wakajikuta nje ya ushindani, huku Android na Apple kupitia iPhone wakishika usukani wa soko la simu janja.

SOMA PIA:  Ifahamu simu ya Nokia 5. #Uchambuzi

follow url Mkurugenzi mkuu, Bwana John Chen katika mahojiano na shirika la utangazaji la CNBC huko Marekani amesisitiza ya kwamba Blackberry bado wanaimani katika biashara ya simu na wana uhakika wa kutoa matoleo mengine ya simu hizo ata baada ya matoleo mawili mapya yaliyo njiani kutolewa.

http://gsc-research.de/gsc/nachrichten/detailansicht/index.html?tx_mfcgsc_unternehmen[uid]=1526 Simu ya BlackBerry Priv iliyokuwa ya kwanza kuja na toleo la Android huku wakiamini simu hiyo itafufua biashara yao imefanya vizuri kiasi flani, ingawa bado ni nje ya mategemeo yao. Simu ya http://inter-actions.fr/bilobrusuy/6529 BlackBerry Priv imeuzika kwa kiasi cha takribani simu 600,000 huku lengo la BlackBerry lilikuwa kuuza zaidi ya simu milioni moja. Wengi waliona simu hiyo iliyokuwa na sifa bora za kiusalama ingeuzika zaidi kama bei yake ingekuwa nafuu kidogo.

Tastylia Australia Simu ya BlackBerry Priv

https://mummiesclub.co.uk/bilbord/533 source Soma Uchambuzi wa BlackBerry Priv – BlackBerry Priv, Sifa zake, na bei yake!

Je ushawahi kutumia simu za BlackBerry? Je unafikiri kama watatoa matoleo ya simu zao za BlackBerry zenye bei nzuri kwako utanunua tena? Endelea kutembelea mtandao wako namba moja wa habari za Teknolojia, TeknoKona.com

opcje binarne wady Chanzo: Digit.in

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

source url Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

dar a conocer blog gratis Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com