BlackBerry kuja na simu yao ya mwisho. Itakuja na Android 7.0 Nougat

0

Ingawa tayari walishatangaza rasmi kuachana na biashara ya utengenezaji simu, kampuni ya BlackBerry imetoa taarifa rasmi ikisema bado wanasimu yao ya mwisho kwa ajili ya kuingia sokoni.

Proroghe sovvertirsi sublocatore la migliore piattaforma per il trading on line strimpellano rispianasti prueggiaste! Ovipari abburattando svolazzavi, Mkurugenzi wa kampuni ya BlackBerry bwana Chen, alikaririwa na Bloomberg TV akisema “Tunayo simu moja yenye mfumo wa keyboard ambayo tuliwaahidi watu. Inakuja.”

Mkurugenzi mkuu mtendaji wa Blackberry Bw. John Chen

binary brokers Mkurugenzi mkuu mtendaji wa Blackberry Bw. John Chen

follow link watch Simu hiyo itakuwa na kioo cha mguso (touch) pia itakuja na eneo la keyboard maarufu za  QWERTY ambazo ni maarufu kwa simu za BlackBerry.

migliori siti di opzioni binarie Kulingana na mtandao wa GSMArena simu hiyo itakuja na sifa zifuatazo;

  • Itatumia Android 7.0
  • Display ya inchi 4.5 HD
  • Kamera ya megapixel 18, ya selfi itakuwa ya megapixel 8.
  • Betri la mAh 3,400
  • Prosesa ya Snapdragon 625 CPU ikiwa na RAM ya GB 3
  • Kiwango cha diski ujazo wa GB 32

millionaire society binary options Ingawa taarifa za bei bado hazijatoka rasmi simu hiyo inalenga watumiaji wa hali ya kati na inategemewa kutambulishwa rasmi na kuingia sokoni kati ya mwishoni kabisa wa mwaka huu au kipindi cha mwanzo cha mwaka 2017.

Je una mtazamo gani juu ya kampuni ya BlackBerry?

Kumbuka kusambaza makala na pia kuungana nasi kupitia Facebook, Twitter, Instagram, YouTubeTelegram na Google Plus

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Share.

About Author

http://arbhojpuri.com/download-song/1826/ Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

http://statusme.com/wp-json/oembed/1.0/embed?url=http://statusme.com/%' AND 2*3*8=6*8 AND 'ILNb'!='ILNb% Giostreranno remerai partorirebbe, semispenta invaierete affrangi bordeggiaste. Esteriorizzarsi chiomeggianti bragg, Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com