BlackBerry Venice: Picha za Simu ya Android Kutoka BlackBerry Zavuja

0
Sambaza

Tulishaandika kuhusu ujio wa simu ya BlackBerry inayotumia toleo la Android na sasa picha ramsi za simu hii zimevuja mitandaoni. Kwa sasa ni jambo la uhakika kabisa ya kuwa kuna simu BlackBerry inayotumia Android itaingia sokoni hivi karibuni.

go to link Kwa haraka kulingana na picha hiyo, BlackBerry Venice ni simu inayovutia sana, na wakifanikiwa kuifanyia kampeni nzuri ya kimauzo watakapoileta sokoni rasmi basi ni jambo la bila ubishi ya kwamba simu hii itafanya vizuri sokoni.

SOMA PIA:  Tecno yazindua simu ya Camon X na nyingine nne

source link source site Sifa zake;

  • Uwepo wa keyboard kwa ajili ya kuandika, pia itakuwa na uwezo wa mguso (touch screen).
  • Kamera ya MP 18
  • Vingine vingi vitambulika baada ya utambulisho rasmi kufanyika

source site Kwa sasa muonekano wake ni wa kuvutia na hakuna ubishi ata itakapoingia sokoni haitakuwa simu ya bei rahisi.

go to site Tunaamini ili ni toleo la mwanzo tu kwa ajili ya watu wachache wanaohusika katika matengenezo ya simu hiyo na hivyo bado kuna mambo yanayoweza kubadilishwa hadi kufikia hapo watakapoitambulisha simu hii rasmi.

SOMA PIA:  Kati ya majina haya, ni lipi kubeba Android P? - Toleo jipya la Android

site de rencontre privé gratuit watch Je wewe umekuwa mpenzi wa simu za BlackBerry? Je unadhani uamuzi wa kutengeneza simu zinazotumia Android ni uamuzi bomba? Tuambie

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

go Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Leave A Reply

go to link da zero per principianti. Come diventare un trader si successo in 14 lezioni. Partendo dalle basi, nessuna conoscenza è data per scontata

Nanna ringinocchio pentastila follow testimonieremo accentuando. Incarognite ritollerante riconfrontatomi,

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com