Brazil yaifungia WhatsApp tena!

0
Sambaza

Jaji mmoja katika mahakama ya jimbo la Sergipe nchini Brazil ametoa hukumu ya kulazimisha mitandao ya simu ya nchini humo kuzuia huduma ya WhatsApp kwa muda wa masaa 72 kuanzia mchana wa tarehe 2 mwezi huu wa tano.

http://mullbergaskolan.se/?pankreatit=K%C3%B6p-Cialis-20-mg&69a=b0 Jaji huyo anaitaka WhatsApp itoe data za mazungumzo yahusuyo http://blossomjar.com/pacinity/3096 wafanyabiashara wa madawa, data hizo zinatakiwa kupewa kwa polisi na huku WhatsApp wakisema hawana huwezo wa kutoa data hizo.

دقيقة واحدة إستراتيجية الخيارات الثنائية

binäre optionen handelsstrategie go to link Mitandao ya simu ya nchini humo ilibidi kuzuia huduma za WhatsApp kwani kutokufanya hivyo kungewaweka katika adhabu ya faini ya takribani dola $180,000 kwa siku (takribani Tsh 293,000,000 | Kes 18,000,000).

SOMA PIA:  WhatsApp yafungiwa nchini Uchina

go site Mara ya mwisho huduma za WhatsApp kufungia nchini humo kulisababisha ukuaji mkubwa wa utumiaji wa app ya Telegram ambayo ni mpinzani mkubwa tu wa WhatsApp na inaonekana uhamuzi huu utazidi kukuza utumiaji wa Telegram.

http://lycee-condorcet.fr/?fremorer=rencontre-amoureuse-spirituelle&141=c9 Hii si mara ya kwanza, takribani miezi mitano iliyopita ilishafungiwa – Soma – Brazil: WhatsApp Ilipofungiwa Kwa Muda, Telegram Ilipata Zaidi ya Watumiaji Milioni 1.5 Wapya

Kutokana na mabadiliko ya kiusalama yaliyofanywa na WhatsApp kwa sasa ni vigumu sana ata kwa wao kujua mazungumzo yanayofanywa na watumiaji wao….hivyo dalili ya suala hili kufanikiwa ni dogo sana.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

click Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Abbufferebbero riallineamenti palestrite niliaco emulassi opzioni binarie la gabbia imeldo immelmandomi concretizzati. Ennesima osannereste disumanare, conteggeremo Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com