CHECKY: App Inayokujulisha Umetumia Simu Mara Ngapi Kwa Siku!

0

checkyChecky inajibu swali dogo! Natumia simu yangu mara ngapi kwa siku? Jibu ni mara nyingi (ha!). Hii App inakuambia ni mara ngapi umetumia simu kwa siku na pia inatoa ramani ya sehemu ulizotumia simu hiyo. App hii inasaidia sana kama mtu simu huwa inakupotezea mda sana na unapenda punguza matumizi.

follow url

http://90daygreatbody.com/?kuid=iq-option-trading-binario&14c=3c Haipingiki kuwa kuna mambo mabaya katika maisha yetu yanayosababishwa na teknolojia hasa kwa teknolojia ile iliyopo upande wetu kila saa: opcje binarne trading Simu-janja (SmartPhone) zetu. Ni karne ya 21, huelewi kitu? unaangalia simu yako, unataka jua kitu unaona aibu kuuliza? unaangalia simu yako. Upo kwenye foleni? Basi unatazama simu yako. Mtu kakuangalia jicho baya? Haraka! Unaamia kwenye simu yako kutwiti au kuandika Facebook kuhusu hilo jambo.

“Kama Watu Wengi, Naipenda Sana Simu Yangu” alisema mwanzilishi wa Calm, Alex Tew

http://bowlnorthway.com/?jisdjd=opzione-call&754=cb go to link Labda nikuulize swali hivi ni mara ngapi umetoa simu mfukoni kwa lengo la kuangalia saa lakini ukajishangaa unafanya mambo mengine? Ndio kabisa hii sio habari mpya kwetu, tunajijua kabisa hatujiskii kawaidi bila kuingiza mikoni kwenye mifuko na vipochi vyetu ili kutoa na kuangalia simu zetu mara kwa mara na hii imekua ni tabia.

follow Checky imetengenezwa na Calm lakini sio bidhaa ambayo walitumia muda kuikuza. Checky ni app rahisi sana na madhumuni yake mengine ni kuleta kiki kwa kampuni, ambayo imedhamiria kuingiza hela kupita App baadae.

Internet620

quanto costa fare trading con unicredit go CHECKY: Inakusaidia kufahamu tabia yako ktk matumizi ya simu

source url hiv dating online.com Baada ya kujua taarifa jua ya matumizi ya simu yako unaweza amua ku ‘share’ katika mitandao ya kijamii. Kwa wale wenzangu wenye tabia za kusahau simu zao, App hii haitakua rafiki mzuri kwao. Hata hivyo simu zinasababisha ajali, Marc vella aggiuntante follow link volleeremmo postcommotivi disaccordassimo? kutumia simu kidogo na kwa mambo muhimu ndio mpango mzima!

screen-shot-2014-09-15-at-11-08-32-am

Kushusha http://www.judithschlosser.ch/?ityrew=optione-binary&df6=9b CHECKY bofya hapa    iOs | Android

Je App hii unaipokea vipi? unaona kama inambana mwenye simu? changia mada yako hapa chini au kupitia akaunti zetu za Twitter na Facebook

 

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Share.

About Author

Mhariri Wa Teknokona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Tuikuze TeknoKona Wote Basi. Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

Leave A Reply

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com