Schiaparelli: Chombo maalum cha anga kutua katika sayari ya nne

Schiaparelli: Chombo maalum cha anga kutua katika sayari ya nne

0
Sambaza

Chombo cha anga cha Ulaya kinachokwenda kwa jina la Schiaparelli kinatarajiwa kutua katika sayari ya Mars.

http://childrenscreativelearningcenter.com/calendar/list/?tribe_event_display=http://google.com

http://time2reflect.com/wp-login.php?redirect_to=http://time2reflect.com/2015/05/whatcha-up-to-today/ Chombo hicho kimefanikiwa kujitenga na “chombo mama” angani na kwa sasa kinaelekea kwenye sayari ya Mars.

http://thegoddamns.com/?p=90 Chombo hicho kinatarajiwa kujaribu kutua kwenye sayari hiyo Jumatano na kina uzani wa kilo 577. “Schiaparelli” ilifanikiwa kujitenganisha na chombo mama Jumapili  saa kumi na moja jioni saa za Afrika Mashariki.

Mchoro wa kuonesha kutengana kwa Schiaparelli na chombo asili

Mchoro wa kuonesha kutengana kwa Schiaparelli na chombo asili

Schiaparelli  ni kifaa cha kufanyia majaribio teknolojia, na lengo kuu ni kudhihirisha uwezo wa Shirika la Anga za Juu la Ulaya (ESA) kutua katika sayari hiyo.

Chombo hicho kitakuwa na muda wa chini ya dakika sita kupunguza kasi yake ya kilomita 21,000 kwa saa kiasi cha kukiwezesha kutua salama kwenye sayari hiyo.

Sayari ya Mars inaaminika kuwa na upepo mkali wenye vumbi

Sayari ya Mars inaaminika kuwa na upepo mkali wenye vumbi

Jaribio la awali la shirika hilo kutua katika sayari hiyo lilifanyika mwaka 2003, kwa kutumia chombo cha Uingereza cha Beagle-2. Chombo hicho kilifanikiwa kutua salama lakini kikashindwa kufungua mitambo yake ya kawi ya jua vyema na hivyo mawasiliano yakakatika

INAYOHUSIANA  Ijue ndege ya Boeing 787-8 Dreamliner

Baada ya muda mambo yalikaa sawa na kuweza kutumia kufanya uchunguzi wake. Una lolote la kutuamia? Tuamdikie katika sehemu ya comment. TeknoKona ipo pamoja nawe kila siku.

Vyanzo: BBC

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

Comments are closed.