Davido ‘Auponda’ Ushindi wa Idris na Diamond

0

davido na diamondMwanamuziki Davido kutoka nchini Nigeria kupitia akaunti yake ya Twitter aandika ujumbe sekunde chache baada ya kutangazwa mshindi wa shindano la jumba la Big Brother Africa unaonekana kuwalenga Diamond na mshindi wa shindano hilo Idris.

Davido-Twitter-tanzania-diamond

Twit hiyo ilisomeka ‘Wadanganya tena’…na wengi walichukulia kama akisema ‘Watanzania…wamedanganya tena’.

Watu mbalimbali ikiwa pamoja na wanaijeria walijitokeza kwa wingi wakiunga mkono twit hiyo, na wachache walipingana naye.

 

Screenshot from 2014-12-08 00:16:52

 

 

Screenshot from 2014-12-08 00:20:09Screenshot from 2014-12-08 00:21:04Screenshot from 2014-12-08 00:23:35    TeknoKona inampongeza Idris kwa kufanikiwa kupeperusha bendera ya Tanzania!

idris-big-brotherhttps://twitter.com/iam_Davido

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Leave A Reply

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com