Facebook ‘imekuwa ikidanganya mahesabu’ ya waliotazama video zake

0
Sambaza

Facebook imeshutumiwa kutoa idadi isiyo kweli ya watu waliotazama video katika mtandao huo katika kipindi cha miaka miwili.

http://matchpointtennisacademy.com/photogallery/Doubles_tournament_10/pages/IMG_1125_resized.htm

buy brand name Premarin facebook

Facebook’s analytics ni kigezo wanachotumia wafanyabiashara wanaotangaza biashara zao kubaini ni kiasi gani video zao zinatizamwa kwenye Facebook. Mtandao huo wa kijamii unasema makosa hayo yamerekebishwa na hayajabadili kiwango wanacholipa wafanyabiashara kutangaziwa biashara zao.

waliotazama video

Video zinawekwa katika mtandao wa kijamii wa Facebook huangaliwa kwa wingi

Mteja mmoja anayetangaza biashara katika mtandao huo amesema kwa wakati mwingine, takwimu hizo zilipitishwa kwa hadi 80%.

Kifaa hicho cha kuhesabu kimebadilishwa jina kwa sasa na kimepewa jina “Average watch time” na Facebook imeanza kukitumia kukusanya takwimu za watu wanaotizama video mwishoni mwa mwezi Agosti.

INAYOHUSIANA  Facebook yaamua kujihami mapema

Jarida la Wall Street limeinukuu kampuni ya Publicis iliosema kuwa Facebook kutoa takwimu za makosa “hazikubaliki”. Publicis imesema inaonyesha haja ya kuwa na kampuni ya tatu kuangalia upya takwimu zinazokusanywa na Facebook.

Mtandao huo wa kijamii umewahi kushutumiwa tena katika siku za nyuma kwa kuhesabu video inatazamwa baada ya sekundi tatu tu. Tupe maoni yako na endelea kufuatilitia TeknoKona katika mitandao ya Facebook, Twitter na Instagram.

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

Comments are closed.