Facebook kudhibiti taarifa zinazochapishwa bila malipo

0

Kampuni ya Facebook imesema itafanya uchunguzi kuhusiana na suala la kudhibiti idadi ya taarifa za habari zinazochapishwa na kusomwa bila malipo kwenye mtandao huo.

operare sabato e domenica con iq option Taarifa hii inakuja wakati ambapo Facebook imekuwa chanzo muhimu cha habari kwa watu wengi hali ambayo imezua malalamishi kutoka kwa wachapishaji wanaodai hupoteza fedha nyingi na udhibiti wakati habari zao zinaenezwa bure katika mtandao wa Facebook.

Kwanini udhibiti huo umeanza kuwekewa mkazo hivi sasa?

click here Yamekuwepo malalamiko mengi kutoka kwa wanaoandaa habari kutumia kiasi kikubwa kufanikisha taarifa kukamilika halafu mwisho wa siku chanzo cha habari kunakuwa hakifaidiki na kile kilichoandaa (habari) hivyo kupelekea Facebook kuamua kuwa rencontre avec une star en streaming fr wanaoweka taarifa watakuwa wakilipia baada ya kampuni hiyo inazindua mfumo wa kulipa kwanza kabla ya kuweka taarifa.

Huduma hiyo ilianzishwa miaka miwili iliyopita na inashindana na huduma ya Google ya AMP ambayo hutumia habari kutoka kwa mashirika yaliyochaguliwa na ambayo habari zake zinaweza kupatikana kwa njia ya simu.

Tangu mwezi Oktoba mwaka huu, Facebook imeanza kukagua mfumo huo unaodhibiti hadi jumla ya habari kumi zinazoweza kupatikana bila malipo kupitia mtandao wake.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Share.

About Author

source url Ni mpenzi na mfuatiliaji wa mambo ya Sayansi na Teknolojia.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com