Facebook Lite : App ya Facebook Isiyokula Data Sana

Facebook Lite : App ya Facebook Isiyokula Data Sana

0
Sambaza

Tulishaandika kuhusu mtandao wa Facebook kuwa katika utengenezaji wa app ya Facebook isiyoitaji data sana. App hiyo inayofahamika kama Facebook Lite inapatikana kwa watumiaji wa simu za Android itaweza kufanya kazi katika ufanisi mkubwa ata pale panapokuwa na intaneti isiyo na kasi sana kama vile intaneti ya mfumo wa 2G.

Facebook wametengeneza app hii wakiwa wanawafikiria watumiaji wa mtandao wao katika nchi nyingi za Africa, Asia (kama vile India) na nchi za bara la Amerika kusini. Kabla walikuwa hawajatoa app hiyo rasmi, na baada ya miezi kadhaa app hiyo ni rasmi sasa.

Tayari app hiyo inapatikana katika soko la Apps la Google Play. Faili la upakuaji wa app hiyo linaukubwa wa chini ya KB 500 tu.

Muonekano wa app hiyo ya Facebook Lite

buy modafinil now Muonekano wa app hiyo ya Facebook Lite

Kushusha app hiyo kutoka Google Play bofya HAPA | Google Play,

INAYOHUSIANA  Programu tumishi kutoka kwa msanii wa Tanzania

go Endelea kutembelea mtandao wako namba moja wa maujanja na habari za kiteknolojia! TeknoKona!

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Leave A Reply