Facebook M: Msaidizi Anayefanya Kazi Kama Ile ya ‘Siri’ au ‘Google Now’

0
Sambaza

Mtandao wa Facebook umethibitisha kufanyia majaribio huduma mpya ya msadizi wa kidigitali aliyepewa jina la ‘M’ kama sehemu ya huduma ya Facebook Messanger. ‘M’, (uvumi unasema herufi hii inasimama badala ya maneno “Moneypenny”, msaidizi katika filamu za James Bond) itakua inafanya kazi kama huduma ya Apple ya ‘SIRI’ au ile ya Android ya ‘Google Now’.

uvumi unasema herufi hii inasimama badala ya maneno “Moneypenny”, msaidizi katika filamu za James Bond

http://highschool.isq.edu.mx/cr45/3846/assets/js/7463 source site uvumi unasema herufi hii inasimama badala ya maneno “Moneypenny”, msaidizi katika filamu za James Bond

agence de rencontre dans le var Misingi mikuu ya Facebook M ni kumtafutia mtumiaji maelezo binafsi, kununua baadhi ya vitu na huduma kwa ajili yake, kuweka ahadi, kupeleka zawadi kwa wapendwa, na vyote hivi vinasaidiwa na huduma za kiautomatiki zinazofuatiliwa kwa karibu na watu wa kawaida.

http://www.bgroads.com/?prosturadlo1=come-ritiro-il-profitto-fatto-dal-trading-binario&33f=f0 Huduma hii itajumuisha akili za wasaidizi wa kiautomatikia pamoja na za watu wa kawaida katika baadhi ya matakwa. Sasa inafanyiwa majaribio katika baadhi ya watu katika jimbo la San Fransisco huku baadhi ya wafanyakazi wa Facebook wakiwa wamethibitisha kutumia huduma hiyo.

SOMA PIA:  Watumiaji wa mitandao ya kijamii 'Kukamuliwa' Uganda

go to site Misingi mikuu ya ‘M’ ni kumtafutia mtumiaji maelezo binafsi, kununua baadhi ya vitu na huduma kwa ajili yake, kuweka ahadi, kupeleka zawadi kwa wapendwa, na vyote hivi vinasaidiwa na huduma za kiautomatiki zinazofuatiliwa kwa karibu na watu wa kawaida.

Screenshort ya kwanza ikionyesha 'M' inavyofanya kazi.

forex options depositi minimi esempio di opzioni binarie Screenshort ya kwanza ikionyesha ‘M’ inavyofanya kazi.

http://palaceestate.ro/ro/properties/bright-and-modern-apartment-for-rent-in-heart-of-bucharest-in-cismigiu-area-cp372132/ Baadhi ya picha zilizotolewa na Facebook, zinaonyesha huduma ya ‘M’ ikiwa kazini, huku ikimuwezesha mtumiaji kuuliza aina ya vyakula vya kutumia katika miji tofauti, wapi pa kupitia chakula, na hata kuagiza ‘M’ kukuwekea oda ya chakula katika migahawa inayouza chakula hicho.

SOMA PIA:  Hukumu ya Mahakama: Simu ya mkononi imesababisha uvimbe katika ubongo wa mtumiaji

source Huenda huduma hii ikawa mbioni sana kutoka, japo Facebook hawakusema tarehe hasa ya kuachiliwa kwa ‘M’.

conocer gente de otro pais gratis Watumiaji wa Messenger duniani kote, wamekua wakiongezeka kila mwezi hadi kufikia milioni 700 kama mwanzilishi wake Mark Zuckerberg alivyojulisha mapema mwaka huu.

24option demokonto Soma PiaTeknolojia: Simu Janja na Apps Zinawasaidia Watu Wenye Matatizo ya Kuona (Vipofu)

Baadhi ya waangalizi wamesema huenda ‘M’ ikapata Changamoto kama vile gharama za kuendesha na kutumia huduma hiyo, au suala la Kijiografia kwani si kila nchi duniani kote ina maeneo yanayotambulika na watu wote.

SOMA PIA:  Satelaiti ndogo zaidi yaundwa nchini India

Optionweb demo Come investire sui binary options in inghilterra Trading opzioni binarie calendario economico Trade forex online profittabilita opzioni binarie Una maoni gani juu ya teknolojia hii? Tungependa kusikia kutoka kwako.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Leave A Reply

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com