Facebook Messenger ni lazima kwa watumiaji wa Facebook kwa simu

m.facebook.com kuondolewa uwezo wa kuchati, lazima kutumia Facebook Messenger

0
Sambaza

Facebook wanazidi kulazimisha watumiaji wake kupakua app ya Messenger katika simu zao. Katika uamuzi mwingine wa kuzidi kulionesha hilo wameamua kuondoa kabisa uwezo wa kuchati na marafiki katika toleo la tovuti hiyo linalopatikana kwenye simu.

http://pottervalley.org/about-pvcpr Facebook Messenger ni lazima kuwa nayo….kama unaitaji kuchati na marafiki zako wa mtandao huo kwenye simu yako.

buy disulfiram online uk Uwezo wa kuchati kwa kutumia app ya Facebook Messenger ulianza kusukumwa kwa watumiaji pale ambapo Facebook waliondoa uwezo wa kuchati katika app yao ya Facebook. Kwa sasa hali ilivyo ni kwamba ukienda eneo la kuchati utaona tangazo la ku’download Facebook Messenger ila unaweza kulifunga na kuendelea kuchati…ila uwezo huu utaanza kuondolewa mara moja taratibu kwa watumiaji wote.

facebook messenger ni lazima

http://icareforchildren.org/circleofparents.html Muonekano Wa Ndani Ya Facebook Messenger

Wengi wanaona mabadiliko haya hayakuwa ya kiulazimu kabisa na si vizuri kulazimisha watu kupakua app wasioihitaji au kuona umuhimu wake kabisa.

INAYOHUSIANA  Facebook yalegeza masharti kuhusu matangazo ya sarafu za kidijitali

Soma Pia- App ya Metal, Tumia Facebook bila simu kuishiwa chaji haraka zaidi

Kama wewe ni mtumiaji sana wa huduma ya kuchati katika mtandao wa Facebook basi utakuwa hauna budi bali kupakua app hiyo.

Je wewe una mtazamo gani juu ya suala hili? Unatumia app ya Messenger pia?

Facebook Messenger – Google Playstore | AppStore

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Comments are closed.