Facebook na instagram hazipatikani kwa sasa! - TeknoKona Teknolojia Tanzania

Facebook na instagram hazipatikani kwa sasa!

0
Sambaza

Facebook na instagram hazipatikani kwa sasa!

Kwa hiyo kama ulikuwa unafikiri ni kwako tuu fahamu si kwako tuu ila ni duniani kote.

Instagram inamilikiwa na Facebook na inaonesha lazima litakuwa ni tatizo la kiufundi kwenye ‘servers’ (kompyuta mama) za mitandao hiyo.

Endelea kuwa nasi, tutatoa taarifa zaidi hapo baadae.

http://waffys.com/team-member-site/calendar/action~oneday/exact_date~2-12-2017/ (TAARIFA MPYA)

enter WAMEFANIKIWA KURUDISHA HUDUMA! MITANDAO YOTE INAPATIKANA KAMA KAWAIDA KWA SASA!

facebook-and-instagram-hazipatikani-tanzania

Facebook Comments

Sambaza
INAYOHUSIANA  VPN ni nini? Fahamu app 3 za bure za Huduma ya VPN
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Leave A Reply