Fahamu Internet.org Huduma ya Intaneti ya Bure Kutoka Facebook na Tigo

0
Sambaza

Internet.org-app-1Mwezi wa nane tuliandika kuhusu huduma ya intaneti ya bure kwa wakazi wa Zambia – Zambia yapata Internet ya Bure inayotokana na juhudi za kampuni ya Facebook na wiki hii huduma hiyo imekuja pia Tanzania kupitia ushirikiano na kampuni ya simu ya Tigo. Bwana Mark Zuckerberg alitangaza rasmi kupitia akaunti yake ya Facebook na pia kampuni ya Tigo imefanya utambulisho rasmi.

Je internet.org ni nini?

segnali di trading free Internet.org ni harakati iliyoanzishwa na mwanzilishi wa Facebook, Bwana Mark Zuckerberg mwaka 2013 ni mkakati wa kuleta huduma ya intaneti kwa watu wengi zaidi, katika ubora na kutokuwa ghari. Kwa sasa katika kufanikisha hili Facebook imepata waunga mkono kama vile Samsung, Ericsson, MediaTek, Nokia, Opera na kampuni ya Qualcomm.

http://libraryinthesky.org/?bioeser=conocer-gente-30-a%D0%93%C2%B1os&e96=92 Kwa ufupi lengo kuu ni kutengeneza kitu kama 911 cha intaneti, yaani huduma ya bure ya intaneti kuwawezesha watu kutumia huduma kadhaa muhimu bure.

http://gatehousegallery.co.uk/?myka=trading-opzioni-binarie-bonus-senza-deposito&e79=0d Baada ya mafanikio ya nchini Zambia, Facebook wameweza kuleta huduma hiyo Tanzania kupitia ushirikiano na kampuni ya simu ya Tigo.

Kwa Zambia Facebook wanatoa huduma ya Internet.org kupitia makubaliano na kampuni ya Airtel

wie funktioniert bdswiss com sito per indici mercato iq option Kwa Zambia Facebook wanatoa huduma ya Internet.org kupitia makubaliano na kampuni ya Airtel

För Cialis 20 mg på nätet Kwa sasa source link huduma utakazoweza kuzipata bure ndani ya mfumo wa internet.org ni zifuatazo;

 • AccuWeather – Hali ya hewa
 • BabyCenter & MAMA – Matunzo ya watoto
 • BBC News & BBC Swahili – Habari za kitaifa na kimataifa
 • BrighterMonday – Nafasi za Ajira
 • The Citizen – Gazeti
 • Facebook – Mtandao wa Kijamii
 • Facts for Life – Taarifa za Afya kutoka UNICEF
 • Girl Effect – Afya za Wanawake wadogo na taarifa dhidi ya umasikini
 • Messenger – App ya kuchati ya Facebook
 • Mwananchi – Gazeti
 • Mwanaspoti – Gazeti la michezo
 • OLX – Matangazo
 • Shule Direct –Elimu Mtandaoni
 • SuperSport – Habari za michezo
 • Tanzania Today – Habari
 • Wikipedia – encyclopedia
SOMA PIA:  Rasmi: Uzinduzi wa iPhone 8 kufanyika Septemba 12 mwaka huu

here Huduma ya internet.org unaweza ipata kupitia simu janja za Android kwa kubofya HAPA – Google PLay, pia unaweza kuzipata kwa kutembelea moja kwa moja mtandao wa www.internet.org kupitia simu yako, njia nyingine ni kupitia Opera Mini.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

see url Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Leave A Reply

regulated options trade online with confidence

24option com forum - Saxo trader demo. Shyam Networks participated in the recently held 3rd Security India 2011 organised by Comnet Conferences, a division of Exhibitions India Group. The conference themed as “Changing Landscape of Security & Surveillance”, took place at Hotel Shangri-La Eros on 7th July 2011 at New Delhi.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com