Fahamu tweet yako ya kwanza kutweet!

Mtumiaji wa Twitter? Fahamu tweet yako ya kwanza kutweet! au ata ya mwingine

0
Sambaza

Je wewe ni kikongwe katika mtandao wa Twitter? Umesahau tweet yako ya kwanza kabisa? au kuna kamtu kanajifanya ni ka’big wig twitani wakati kameingia juzi tuu?? Hii ndio njia ya kuona tweet ya kwanza kabisa kutumwa na wewe au mtu mwingine.

buy Fincar online no prescription Kupitia link spesheli katika mtandao wa Twitter utaweza kugundua kwa urahisi tweet yako ya kwanza katika mtandao huo wa kujamii.

is it safe to buy disulfiram online buy modafinil sun pharma Ukifungua mara ya kwanza itakuonesha tweet yako….

…….ila pia unaweza weka handle ya mtu mwingine na utaona tweet ya kwanza kabisa kutoka kwa mtu huyo, iwe alimjibu mtu au vipi..ila tweet yake ya kwanza kabisa kama haikufutwa basi utaiona..

tweet yako ya kwanza twitter

Tembelea mtandao wa Twitter kupitia hapa -> https://discover.twitter.com/first-tweet

 

Endelea kutembelea mtandao wako wa TeknoKona – kumbuka kutu’follow kupitia mtandao wa Twitter @teknokona na Instagram @teknokona

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Comments are closed.