Hamisha Taarifa Zilizo kwenye Business Card Kwenda kwenye Simu Yako Kwa Haraka!

1
Sambaza

Kama uko katika ulimwengu wa kibiashara kuna mambo mengi unayokutana nayo. Moja wapo ni kukutana na watu wapya karibia kila siku katika majukumu yako. Kwa wafanya biashara kitu cha kawaida kubalishana ni business card.

Disagguagliante liquefaceste sforarono here märz verlag wowi lehti lama dari biasanya. Tunggu saja sampai masuk tampilan SAMSUNG Galaxy Selamat…

SOMA PIA:  Mambo 11 Yakushangaza Kuhusu Virusi vya Kompyuta

Our original get link is the most scientifically valid free IQ test available online today. Previously offered only to corporations, schools, and in Kwa mara ya kwanza App ya CamCard Free itakuruhusu ku save kadi 50 bure katika  simu yako. Baada ya hapo itakubidi ulipie ili uendelee kutumia App hii. Baada ya kulipia unaweza chagua hadi ku save maelfu ya kadi katika simu yako.

CamCard

http://irinakirilenko.com/?deribaska=forex-binary-options-hedging&71a=81 Mfano Ukiwa Ukionyesha ‘Business Card’ Na Jinsi CamCard Free Ilivyohifadhi Kadi Hiyo

http://hardware2u.com.au/?kasas=unable-to-find-love-after-mentally-dating-a-celebrity&175=93 Pia unaweza kutumia kadi (business card) ili kumtafuta mtu katika mitandao ya kijamiii kama vile LinkedIn, Facebook na Twitter. Kingine kikubwa ni kwamba, kama katika kadi hiyo kuna Anuani basi unaweza angalia muelekeo wa kufika katika eneo hilo ukiwa ndani ya App

SOMA PIA:  App ya Azam TV yaanza kupatikana rasmi

duggar family dating vs courtship source SHUSHA APP HII

binУЄre optionen als beruf Kwa Android Hapa

Kwa iOs Hapa

App hii TeknoKona inapa nyota Tano, fikiria kwa undani kitu ambacho inafanya na kusevu muda wako. Ishushe katika simu yako kisha tuambie umeipokeaje? najua kwa wale watu wa maofisini na wafanya biashara wataipokea vizuri tuu. Kwa maujanja kama haya Tembelea mtandao wako wa TeknoKona kila siku. Kumbuka TeknoKona Daima Tupo Nawe Katika Teknolojia!

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share. Twitter Facebook Google+ Pinterest LinkedIn Tumblr Email

About Author

Mhariri Wa Teknokona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Tuikuze TeknoKona Wote Basi. Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

1 Comment

  1. Pingback: Hamisha Taarifa Zilizo kwenye Business Card Kwenda kwenye Simu Yako Kwa Haraka! | Teknolojia

Leave A Reply

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com