FlipBoard Sasa Kupatikana Kwenye Kompyuta Pia

FlipBoard Sasa Kupatikana Kwenye Kompyuta Pia

0
Sambaza

App maarufu ya mfumo wa gazeti kwenye simu na tableti za Android na iOS inayofahamika kwa jina la FlipBoard, inapatikana sasa kwenye kompyuta kupitia mfumo wa mtandao(Web).

Hii ni tabribani zaidi ya miaka 5 tokea app hiyo iingie kwa mara ya kwanza kwenye soko la apps za iOS, hususani iPads na kupata mafanikio makubwa sana.Web-Launch-1200x750

Waanzilishi wa app hii waliileta kipindi mitandao ya habari ilikuwa na mionekano mibaya na mtumiaji wa kawaida inasemakana alikuwa anamaliza kiasi kikubwa cha data yake kwa ajili ya kufungua mitandao ya habari n.. Kupitia FlibBoard usomaji unaraisishwa zaidi, kwa sasa unaweza kupata habari zilizopangwa vizuri na pia kukupa wewe uhuru wa kufanya mabadiliko pia.

INAYOHUSIANA  Google Calendar yaongezewa vipengele vizuri sana

Unaiweza kuipata FlipBoard kwenye kifaa cha Android na iOS, Bofya -> where to purchase ciprofloxacin Google Play | iOS (iPhone & iPad)

Na kwa sasa unaweza tumia FlipBoard kwenye mtandao hapa -> https://flipboard.com/

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Leave A Reply