Flynx: Okoa Muda na Kivinjari Kinachoelea! #Apps

0
Sambaza

Mfumo-endeshaji wa Android una soko kubwa sana la apps linaloweza kukushangaza. Kila siku utakutana na kitu kipya ambacho huenda kikasuluhisha tatizo lako la siku nyingi.

go site

Mfano ni app ya Flynx ambayo ni kivinjari kinachoelea kwenye skrini ya simu. App ya Flynx na app za aina yake zinakupa uhuru wa kufanya mambo mengine wakati unasubiria kurasa ya wavuti unayotaka kufunguka.

binaire opties traders Pakua app hii kwenye Google Playstore kisha ifungue na kuingia kwa kutumia akaunti ya Google au barua-pepe. Kuingia kwenye app hiyo kutakusaidia pia kuhifadhi linki za mitandao unayotembelea na hivyo kuweza kuzifikia unapotaka.

SOMA PIA:  Kasoro yabainika kwenye Samsung Galaxy S9 na S9 Plus

http://www.arthotelvarese.it/?yutie=binary-signal&0f5=eb Fungua linki yoyote ya wavuti kwenye app yoyote na utaulizwa kutumia Flynx mara moja au kuiweka kama chaguo la moja-kwa-moja. Chagua la moja-kwa-moja kufanya maisha yako yawe rahisi. Linki yako itafunguka kwenye ki-puto kinachoelea wakati unaendelea na mambo mengine. Kurasa ikimaliza kupakuliwa utaona kiputo kile kimebadilika sura. Hapo unaweza kukibonyeza na kuendelea kusoma kurasa uliotaka.

كيف يمكن لطفل كسب المال السريع App hii ina tabia za app za ku-soma baadae kama Pocket. Kurasa zinafunguka na makala tu, bila mbwembwe zinazopunguza umakini wa usomaji.

Flynx ina tabia za app za ku-soma baadae kama Pocket

source Ina tabia za app za ku-soma baadae kama Pocket

Köp Viagra Trosa  

Fungua linki yoyote ya wavuti kwenye app yoyote

watch Fungua linki yoyote ya wavuti kwenye app yoyote

see url Flynx siyo kivinjari kamili na huduma kama “copy and paste” utazikosa. Hii ni kwa sababu Flynx imetengenezwa kuokoa muda na kurahisisha maisha. Unapotaka kutumia chaguzo za kivinjari cha kawaida unaweza kufanya hivyo kirahisi. Fungua menu kwenye kiputo cha Flynx na chagua kivijari chako.

SOMA PIA:  Instagram yazidi kuiiga Snapchat, yaleta face filters na Hashtags

alternative dating sites us http://karenwritesromance.com/?bioeier=piattaforme-opzioni-binarie-demo&e56=3d App hii ni moja ya app zinazosifiwa na mitandao maarufu ya teknolojia kama techrepublic, wired na androidcentral. Pengine ni muda wa wewe kujaribu Flynx au kivinjari chochote cha kuelea na tuambie imebadilishaje matumizi yako ya kuperuzi intaneti.

my boyfriend's ex is dating his best friend Angalia video ifuatayo kuona inavyofanya kazi.

site de rencontre amГ©ricain ado

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Ninafuatilia teknolojia kila siku na ninapenda kutoa ujuzi wangu kuhusu teknolojia. Karibu tuzungumze kuhusu teknolojia hapa teknokona!

Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com