Je umesikia Kuhusu Gari lisilotumia Mafuta kutoka Uganda?

0

Sambaza

uganda-gari-umeme-lisilotumia-mafutaWengi wanaamini Afrika inaweza tengeneza mambo mengi ya kiteknolojia kama kukiwa na sapoti ya kutosha asa kwenye suala la pesa. Wote tunafahamu ya kwamba serikali zetu haziwekezi vya kutosha katika ubunifu na uzinduzi wa kiteknolojia na hakika watakupa sababu ya kwamba suala la bajeti linabana….bado tuna matatizo kwenye mahospitali na ata elimu hivyo huko ndiyo muhimu zaidi. Je ushawahi sikia kuhusu teknolojia ya gari lisolotumia mafuta?

Uganda wamejisogeza mbele zaidi kiteknolojia, wamefanikiwa kutengeneza gari linalotumia umeme na si mafuta la kwanza kabisa kwa Afrika. Teknolojia hii inakua zaidi nchi za ulaya na marekani lakini kwa Afrika Uganda imetuletea gari la kwanza kabisa.

INAYOHUSIANA  Vespa ya umeme kuuzwa mwezi Oktoba

Sikiliza mahojiano yaliyofanywa na BBC Swahili katika uzinduzi wa gari hilo jijini Nairobi.

Wacha wafurahie bana, ni la kwanza  Kutengenezwa Afrika na waafrika

http://kcexteriorpros.com/wp-json/oembed/1.0/embed?url=http://kcexteriorpros.com/gallery/ Wacha wafurahie bana, ni la kwanza Kutengenezwa Afrika na waafrika

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Leave A Reply