Gmail sasa itakukumbusha kujibu jumbe ulizotumiwa

1
Sambaza

Sio kila ujumbe unaotumiwa kwenye barua pepe (Gmail) unajibu mara tu baada ya kuisoma na kurudisha majibu si ndio? Sasa Gmail imeona kuna umuhimu wa kukukumbusha kurudisha majibu ya ujumbe smbso umetumiwa kwa njia ya barua pepe.

source site

rencontre et racine 2015 tarif Inawezekana ukaghafirika kujibu ujumbe fulani kwenye Gmail na hivyo muda/siku zikapita bila yule aliyekutumia kupata majibu ya kile alichokieleza kwenye barua pepe; Gmail imeleta kipengele kipya walichokiita “Nudge” na kazi yake ikiwa ni kufuatilia zile jumbe ambazo hujazijibu.

SOMA PIA:  Facebook kudhibiti taarifa zinazochapishwa bila malipo

Utendaji kazi wa kipengele cha Nudge kwenye Gmail.

ejemplo practico opciones financieras  Kitu ambacho Nudge inafanya kwenye Gmail ni kusogeza juu kabisa zile jumbe zote ambazo ni muhimu na mwenye akaunti hajazijibu na hii inajumuisha hata zile jumbe ambazo zipo kwenye kipengele cha kufuatilia kwa ukaribu (follow up).

kujibu jumbe

best online binary options broker\'A=0 Kipengele cha “Nudge” kitakukukumbusha kujibu ujumbe au kufuatililia kwa ukaribu kulingana na maudhui ya ujumbe wenyewe; inatumia http://ajm-web-designs.co.uk/favicon.ico teknolojia ya kompyuta kuweza kutambua vitu (AI).

watch http://bestone.com.au/wp-login.php?action=register'%2520or%2520(1)%20and%201%3D1%20(%' and 1=1 and '%'=' Kipengele cha “Nudge” kinaweza kuwa msaada sana kwa makampuni au mtu ambae anapokea jumbe nyingi sana kitu ambacho kinaweza kusababisha kutoweza kujibu jumbe hizo kwa wakati au kusahau kabisa kuzijibu.

Hupendezwi na kipengele cha Nudge?

watch Inawezekana kuzima kipengele hiki kwa maana ya kwamba hutokuwa unakumbushwa kujibu jumbe fulani. Unaenda kwenye kipengele cha Settings>>Nudge utaona vipengele viwili: “Suggest emails to reply to” na “Suggest emails to follow up on” utavizima (kuweka off). Kumbuka free online dating websites in canada kipengele hicho  (Nudge) hakihitaji kukiwasha kwani kimeshawashwa tangu kiwepo kwenye Gmail.

kujibu jumbe

http://alschu.de/?destomit=binary-options-trading-signals-youtube&5e6=de Kipengele cha Nudge kinapatikana kote; kwenye programu tumishi/kivinjari kuingia kuona kilichomo kwenye akaunti ya Gmail.

Gmail wameboresha vitu vingi kwenye huduma hii ya barua pepe; kote kwenye programu tumishi na kivinjari. Tutazidi kuwaletea habari kuhusiana na vitu vipya vilivyopo kwenye Gmail lakini unakiuingumziaje hiki kitu cha kukumbushwa kujibu jumbe?

http://yoursportsmarketing.com/piceria/4468 Vyanzo: Gadgets 360, Ubergizmo

SOMA PIA:  Tweet ya Obama ya 'kuvumiliana' imepata 'Like' nyingi zaidi katika historia ya Twitter

follow link  

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com