Go Green; App mahususi kwa ajili kukupa dondoo jinsi ya kutunza vitu mbalimbali - TeknoKona Teknolojia Tanzania

Go Green; App mahususi kwa ajili kukupa dondoo jinsi ya kutunza vitu mbalimbali

0
Sambaza

Utunzaji wa vitu kadha wa kadha ni muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku na kadri siku zinavyozidi kwenda njia mbalimbali zinaibuliwa; unaweza kupata dondoo mbalimbali zinahusiana na mazingira, chakula, n.k kwenye app.

enter site

GO GREEN

Kuna njia nyingi za kuepuka kuharibu chakula na kutokana na ukuaji wa teknolojia app mahususi imeundwa kwa ajili ya watu wote. App ya Go Green inamuwezesha mtumiaji kuweza kupata dondoo (tips) ya jinsi gani mtu anaweza akapungunguza uharibifu wa chakula. Kwa jindi ninavyoona app hii inamfaa yeyote yule hasa migahawa, hoteli, n.k.

App ya Go green katika Play Store

App ya Go green katika Play Store

 Jinsi app hiyo inavyofanya kazi

Kila mara unapofungua app hiyo (Go Green) inakuletea dondoo mbalimbali ya jinsi ya kutoharibu chakula chako, mambo ya kuzingatia wakati wa kununua kompyuta, n.k. Dondoo zote zinahifadhiwa na kadri unavyozidi kuifungua app hiyo ndipo unapozidi kupata dondoo nyingi zaidi na kupanda daraja (rank). Ni rahisi kutoka kwenye daraja la Green Friend na kuwa Green Lover. follow link App hiyo pia inakupa dondoo mbalimbali zitakazokusaidia kutunza mazingira.

Moja ya dondoo katika app ya Go Green

Moja ya dondoo katika app ya Go Green

Mafanikio

Go green app iliweza kusdhika nafasi ya pili katika shindano la “Technovation Challenge 2016” lililofanyika San Francisco, California ikifungana nafasi hiyo na wanafunzi kutoka Kenya wakijulikana kama Team Sniper.

App hiyo inapatikana katika http://taica-na.com/wp-json/oembed/1.0/embed?url=https://taica-na.com/taica-to-exhibit-at-2017-santa-clara-design-2-part-show/ simu zinazotumia Andrioid pamoja na iOS. Pia unaweza ukazipakuwa kwenye kompyuta, tableti, n.k.

INAYOHUSIANA  Clickfarms: Wauza Likes, Shares, na Comments wakamatwa nchini Thailand

Download | Google PlayStore (Android) . AppStore (ios)

Je, unadhani unaweza ukamshawishi na mwingine aweze kupakua app hii katika kifaa anachotumia? Tupe maoni yako na mshirikishe na nweingine.

Vyanzo: kuchwanya.com, AppAdvice

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

Comments are closed.