Google Duo: App inayokuwezesha kuchat kwa njia ya video

1

Sambaza

Google wazindua app mpya inayokuwezesha kuwasiliana na mtu kwa njia ya video (video chat). Ifahamu Google Duo.

App hiyo inayolenga kutumika kwenye simu janja. App hiyo imeshaanza kupendwa na wengi kutokana na vitu ambavyo unaweza kufanya kwenye Google Duo.

Upatikanaji wake

App hii ni bure na inapatikana kwenye PlayStore na App Store. Baada ya kuipakua na kuifungua itaangalia namba yako ya simu na kisha kukutumia code ili kuhakikisha namba waliyotuma code hiyo ni ya kwako. orlistat full strength Hakuna haja ya kutengeneza akaunti au kufuta au kuongeza marafiki.

Google Duo App mpya kutoka Google

lasix tablets to buy Google Duo-App mpya kutoka Google

Jinsi ya kutumia Google Duo

Ni rahisi sana kutumia Google Duo kwani inambidi mtumiaji kubonyeza kwenye picha ya mtu anayetaka kuwasiliana nae ili kuweza kupiga simu.

INAYOHUSIANA  Mambo yanayokera katika makundi ya WhatsApp

Kwenye Google Duo wamemeka ‘feature’ mpya waliyoiita ‘Knock Knock’ ambapo mtu anapokupigia simu inaanza kuonyesha picha ya mtu anayekupigia hata kabla ya kupokea na kuanza kuwasiliana nae kwa njia ya video.

Knock knock

follow link Knock Knock inawezesha kuona picha ya anayekupigia hata kabla ya kupokea simu.

Hata hivyo Knock Knock inafanya kwenye simu janja zinazotumia Android tu. Hakuna haja ya kuwa na hofu mazungumzo yenu kuingiliwa na mtu msiyemjua kwani app hiyo inafanya kazi kwa namba ambazo umeshazitunza (save) na iwapo kama utaka kuzuia mtu asiwasiliane na wewe (block) basi ukifanya hivyo jua kuwa itamblock kila mtu kutokana na kwenye app hiyo huwezi kutengeneza orodha ya marafiki.

INAYOHUSIANA  Samsung kuondoa 'Earphone Jack'

Kwenye app hiyo huwezi kuwasiliana na mtu zaidi ya mmoja (video conference), kutumia emoji za kufurahisha kama kwenye kichwa chako (unaposiliana kwa njia ya video) kutoka Hangouts app. Je, unatumia Google Duo app?

Pakua -> Google PlayStore | AppStore

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|