Google watambulisha simu mpya, zifahamu Google Pixel na Pixel XL

0
Sambaza

Kampuni ya Google watambulisha simu mbili mpya, Google Pixel L na Pixel XL. Ujio wa simu hizi ni mwanzo wa mabadiliko makubwa ya biashara ya utengenezaji na uuzaji simu kwa Google.

Baada ya kutoa simu za aina mbalimbali na kuziingiza sokoni kwa jina la ‘Nexus’ Google wafanya mabadiliko makubwa ya utengenezaji simu zao.

Google pixel

Simu za Google Pixel kutoka Google

Tokea mwaka 2010 Google walianza kutoa simu zao za familia ya Nexus lengo likiwa ni kuwaonesha makampuni mengine ya utengenezaji simu yanayotumia programu endeshaji ya Android ni kiwango gani cha ubora kinaweza kufikiwa na simu za familia ya Android.

Na simu za Nexus zimekuwa zikibuniwa na Google na kisha kwa kushirikiana na makampuni mengine kama vile HTC, Huawei na Motorola zimu za Nexus zimekuwa zikija kila mwaka. Sasa Google wanafanya mabadiliko makubwa zaidi, leo huko jijini Calfornia nchini Marekani Google watambulisha vitu kadhaa kikubwa zaidi ikiwa ni simu mpya.

Simu za Google Pixel L na Pixel XL ni simu za ubora wa hali ya juu na hadi sasa zinaweza beba sifa ya kuwa simu za ubora wa juu zaidi kuingia sokoni mwaka huu.

SOMA PIA:  Mambo 8 ambayo si rahisi kujua kwenye simu za Samsung Galaxy

Muonekano

Simu za Google Pixel ingawa zimebuniwa na Google kwa asilimia 100, wameshirikiana na kampuni ya HTC katika utengenezaji wake.

simu za google pixel

Muonekano wa matoleo yote ya simu za Google Pixel

Utofauti mkuu wa familia hizi mpya za simu kutoka Google ukilinganisha na familia ya zamani, Google Nexus, ni kwamba simu hizi hazibebi alama yeyote kuhusu mtengenezaji (HTC). Zinakuja na alama ya G nyuma yake, ikiwakilisha Google.

Zina jumba (body) lililotengenezwa kwa kutumia alumini (aluminum) na kioo kigumu. Kwa nyuma eneo lote la simu limezungukwa na alumini kasoro eneo dogo la juu lenye sensa ya kamera na kisoma alama za vidole (fingerprint reader).

Simu zote mbili zinakuja austria ha annuncio chi è di alta da eToro è aumento del valore che ti aiuters go San Juan cinema Grativo guadagno del servono solito katika rangi tatu; rangi ya blu, nyeusi na rangi ya shaba. Wenyewe Google wameita kiutani; ‘Very Silver’, Quite Black na ‘Really Blue’.

Sifa za Undani

Simu hizi zinafanana sifa za undani kwa kiasi kikubwa sana, tofauti kuu ikiwa ni ukubwa wao tuu.

Köp av Cialis Muonekano (Display)

  • Google Pixel – inchi 5.0 AMOLED, 1920 x 1080, 441ppi, Gorilla Glass 4
  • Google Pixel XL – inchi 5.5 AMOLED, 2560 x 1440, 534ppi, Gorilla Glass 4
SOMA PIA:  Adidas yatengeneza app yao kwa ajili ya kufanya manunuzi ya bidhaa zao mbalimbali

http://www.selectservices.co.uk/?propeler=bdswiss-recensioni&976=dd Prosesa

  • 2.15GHz Qualcomm Snapdragon 821

Make money online opossums earn home jobs RAM – GB 4

http://coleface.com.au/luxury-design-that-solves-production-problems-and-adds-premium-elements-to-brand-image/?s= Ujazo (storage)

  • dispense opzioni binarie GB 32 au GB 128
  • MicroSD – Hakuna sehemu ya kuweka memori kadi ila ukinunua simu hizi unapata ujazo wa bure (unlimited) wa kuhifadhi picha na video zako kwenye Google Drive.

go here Kamera

Kamera ya simu za Google Pixels imepata kushinda pointi za kiwango cha juu zaidi kuwahi kutolewa na kampuni inayothaminisha ubora wa kamera – DXOMark

iq option problemi Betri

Laini

  • Laini moja katika mfumo wa laini ndogo – NanoSim

Upana na uzito

  • mm 143.8 x 69.5 x 8.6, gramu 143 kwa Pixel na mm 154.7 x 75.7 x 8.6, gramu 168 kwa Pixel XL.
SOMA PIA:  Uwezo wa kumuongeza mtu kwenye kundi la WhatsApp bila Admin kujua

Zote zinakuja na toleo jipya kabisa la Android, Android 7.1 Nougat, programu endeshaji itaweza kujisasisha (update) bila ata ya kutoa taarifa. Mtumiaji atapewa taarifa ya kuzima na kuwasha simu tuu ili update hizo zimalizie kuwekwa kwenye simu.

Pia simu zote zinauwezo wa kutoharibika pale zikilowa (water resistance). Pia teknolojia ya kisasa kutoka Google kupitia app ya Google Assistant itakuwa inapatikana ndani ya simu hizi.

Pia watumiaji wataweza kupata huduma ya ‘customer care’ masaa 24. Ukiwa na tatizo lolote katika simu hizo utaweza kupiga screenshot na kutuma na utapewa msaada husika.

Bei na upatikanaji

Kuanzia tarehe 13 walio katika nchi za Marekani, Uingereza, Kanada, Ujerumani, Uingereza na India wataweza kuanza kuilipia mapema ili kujiweka nafasi za mwanzoni kuipata (pre order).

Bei ya Pixel L tole0 la GB 32 ni dola 649 (takribani Tsh 1,410,000/= | Ksh 65,000), toleo la GB 32 la Pixel XL ni takribani Tsh 2,000,000. 

Kama unataka ujazo wa GB 128 bei itakuwa juu kidogo, Pixel L ni takribani Tsh 1,950,000/= wakati Pixel XL ambayo ni kubwa ni takribani Tsh 2,277,000/=

Haya ndiyo mambo makuu kuhusu simu hizi mbili kutoka kampuni ya Google. Je una mtazamo juu ya simu hizi? Tuambie kupitia eneo la comment.

Vyanzo: Mitandao mbalimbali

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com