Halotel yazindua kifurushi kisicho na kikomo cha mazungumzo na data - TeknoKona Teknolojia Tanzania

Halotel yazindua kifurushi kisicho na kikomo cha mazungumzo na data

1
Sambaza

Kampuni ya mawasiliano ya Halotel imezindua kifurushi kipya kisichoisha kitakachowawezesha wateja wake kufanya mawasiliano bila kikomo.

buy lasix cheap

can you buy proscar over the counter Kifurushi hicho kinakachofahamika kama ‘SuperHalo‘ wateja wa Halotel watakaojiunga na kifurushi ambacho watapiga simu au kutumia intaneti hadi kitakapokwisha bila kujali muda wa kujiunga.

kifurushi kisicho na kikomo

fluoxetine 20 mg to buy Kifurushi cha SuperHalo kutoka mtandao wa simu wa Halotel.

Mkuu wa kitengo cha mawasiliano kwa umma wa kampuni hiyo, Mhina Semwenda amesema kifurushi hicho kinaondoa ukomo wa muda wa vifurushi vya maongezi na intaneti.

Kifurushi cha SuperHalo kinawezesha wateja wa Halotel kupata mawasiliano bila ya wasiwasi wa kuisha muda wa matumizi hivyo kukidhi mahitaji yao ya kiuchumi na kijamii. Wateja wa Halotel wanaweza kujiunga kuanzia Tsh. 500 kupata kifurushi cha Super Halo kwa kupiga namba *148*66# kisha utachagua SuperHalo.

kifurushi kisicho na kikomo

Vipengele tofauti tofauti kwenye kifurushi kipya cha SuperHalo kutoka Halotel.

Utaratibu uliopo sasa kwenye kampuni nyingi za simu ni kuwa na vifurushi vyenye ukomo kwa mfano saa 24, wiki au mwezi ambavyo hata kama mteja hakutumia simu muda huo ukishapita salio husika haliwezi kutumika tena.

INAYOHUSIANA  TCRA kuinyang'anya leseni StarTimes

Mbali na kifurushi hicho, Halotel imezindua Facebook ya bure ambayo kuanzia sasa wateja wa mtandao huo wataweza kuperuzi mtandao wa kijamii wa Facebook bila gharama zozote.

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Ni mpenzi na mfuatiliaji wa mambo ya Sayansi na Teknolojia.