Hivi Unajua Jina La Bluetooth Limetokana Na Nini? - TeknoKona Teknolojia Tanzania

Hivi Unajua Jina La Bluetooth Limetokana Na Nini?

0
Sambaza

Kama hujui kuhusina na hili basi ondoa shaka. Ni historia fulani ambayo tuu inaelezea kila kitu juu ya jina hilo.

see

http://painconsult.com/2015/04/officially-open/

lindsay lohans pussy pics Kwa karne hii ya 21 Bluetooth ni njia ya karibu sana na ya haraka ya kuweza kutuma na kuhamisha mafaili kutoka kifaa kimoja hadi kingine. Licha ya kuijua Bluetooth na kazi yake inayofanya hivi ushawahi kujiuliza kwa nini iliitwaga hivyo na sio kitu kingine?

Nembo Ya Bluetooth
Stori ni ndefu kidogo ila ngoja niifupishe.. naomba nikupeleke mwaka 1966 ambapo Jim Kardach (mmoja kati ya waanzilishi wa kwanza kabisa wa teknolojia ya Bluetooth) alikuja na hilo jina. Jina lilipatikana wakati walipokuwa wakipiga stori za kihistoria.

Katika stori hizo mara jina la mfalme Harald “Bluetooth” Gormsson likajitokeza. Mfalme huyo alipata umaarufu wake huko Denmark na Norway baada ya kuunganisha makabila tofauti tofauti katika nchi hizo mnamo karne ya 10.

can you buy Lyrica over the counter in canada Aliweza kuunganisha baadhi ya makabila ya nchi hizo mbili na kuyafanya yawe na maadili ya dini ya kikiristo.

Lakini bado kuna vyanzo vingine vilienda ndani zaidi na kusema kuwa mfalme huyo, Harald alikuwa na meno mabaya ambayo yalikua na ubluu bluu ndani yake. Hii pia inaweza ikaonyesha sababu ya watu kumuita Bluetooth.

Maelezo Mafupi Kuhusiana Na Mfalme Harald

Kutoka na historia hiyo ya mfalme Harald ya kuweza kuunganisha watu karibu na ukiangalia teknolojia hii kazi yake kubwa ni kuunganisha na kubadilishana mafaili mbalimbali ndipo hapo Bw. Kardach alipoona jina la ‘Bluetooth’ linafaa kabisa.

Niandikie katika sehemu ya comment hapo chini je wewe ulikuwa unahisi kama jina hili litakuwa limetokna na historia. Ningependa kusikia kutoka kwako.

Tembelea TeknoKona kila siku ili ujipatie habari kuhusu mambo mbalimbali yanayohusiana na teknolojia. Kumbuka TeknoKona Daima Tupo Nawe Katika Teknolojia!.

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Mhariri Wa Teknokona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Tuikuze TeknoKona Wote Basi. Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

Comments are closed.