Hizi ndizo Password Mbovu kwa mwaka 2016! (Kumi) - TeknoKona Teknolojia Tanzania

Hizi ndizo Password Mbovu kwa mwaka 2016! (Kumi)

0
Sambaza

Je wewe pia unatumia moja kati ya password mbovu kwa mwaka 2016? Fahamu na ikiwezekana badilisha mara moja.

buy amoxil online canada

password mbovu nywila

http://icahomeandliving.ie/meet-tutors-aoife-collins/ Mara kwa mara tunasisitiza umuhimu wa kutumia nywila (password) zenye nguvu, lakini bado kuna wengi duniani kote na si katika nchi zinazoendelea tuu ambao bado wanatumia password zisizo salama – yaani ni rahisi sana wadukuzi kufanikiwa kufungua na kudukua data zao – iwe kwenye simu, barua pepe au kompyuta.

Kulingana na kampuni moja ya masuala ya usalama mitandaoni, Keeper Security, ambao walipitia zaidi ya passwords milioni 10 zilizovujishwa na wadukuzi kwa mwaka 2016 zifuatazo ndizo password mbovu zaidi.

go to link 123456, 123456789, qwerty, 12345678, 1111111, 1234567890, 1234567, password, 123123, 987654321,

password mbovu nywila

Password Mbovu 10 mwaka 2016

Kitu kikubwa katika hili ni kwamba password hizi watu wameshashauriwa mara kibao kuacha kuzitumia lakini bado zinajitokeza mara zote.

INAYOHUSIANA  Uganda: Sheria ya kodi ya mitandao ya kijamii kupitiwa upya

Je ushawahi au bado unatumia aina hizi za password katika huduma yeyote? Ni muda wa kubadilisha.

Soma pia – Kosa Kubwa Linalofanyika Katika Kutengeneza ‘Password’ Za Simu Janja Na Tablet!

Kumbuka kusambaza makala na pia kuungana nasi kupitia Facebook, Twitter, Instagram, YouTubeTelegram na Google Plus

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Comments are closed.