HTC One M8 Kuja na Windows 8.1

0
Sambaza

HTC One M8Simu ya HTC One inayotumia Android imepata sifa ya kuwa simu bora zaidi kiuwezo kwa maoni ya wateja na watafiti wa mambo. Wakati HTC One inatoka mwezi wa pili mwaka 2013 tuliandika makala kuhusu sifa zake (Soma hapa -> HTC ONE: Simu Yenye Mvuto Na Uwezo Wa Hali Ya Juu!), HTC One imekuwa ni moja ya simu zilizofanya vizuri zaidi kutoka HTC, kwa mwaka 2013 zaidi ya simu milioni 6.3 za toleo hilo ziliuzwa. Kutokana na mafanikio ya simu hiyo mwezi wa tatu mwaka huu HTC wakaja na HTC One M8 ambayo imefanya vizuri sokoni lakini HTC hawajatoa taarifa zaidi ya mauzo ya simu hiyo. 

Na sasa HTC wanatengeneza toleo la HTC One M8 linalokuja na programu ya uendeshaji ya Windows Phone 8.1. Hili litakuwa jambo la kimfanikio kwa kampuni ya Microsoft kwani HTC One M8 ni simu yenye uwezo mkubwa wa kiundeshaji na pia ni simu yenye muonekano na mvuto wa kipekee. Hakuna kitu cha ndani cha kiufundi kilichobadilishwa kwenye toleo hili, sifa zote za kiuwezo zinafanana na zile za toleo la mwezi wa tatu linalotumia Android.

Kwa Mtazamo Wako Ipi Inavutia Zaidi?
click Kwa Mtazamo Wako Ipi Inavutia Zaidi?
SOMA PIA:  Xiaomi yaizidi Samsung katika mauzo ya soko la India

Kama toleo hili litafanya vizuri sokoni basi mafanikio yatakuwa kwa wote Microsoft na kwa HTC. Kwa kipindi cha zaidi ya mwaka sasa Microsoft wamejaribu kuipigania kimatangazo programu ya Windows na simu zinazotumia programu hiyo kama ni programu yenye uwezo mkubwa na ubora wa kulinganishwa na Android na iOS. Mafanikio ya simu hii ni muhimu kwa kampuni zote mbili, wakati Microsoft inapigania mafanikio ya programu ya Windows, HTC inajitaidi kurudisha mafanikio ya kimapato kwani kwa miaka miwili mfululizo mapato yao hayajakuwa mazuri sana.

SOMA PIA:  Kampuni Ya Simu Janja, Vivo Kudhamini Kombe La Dunia!

source site Sifa/Uwezo wa HTC One M8

http://drybonesinthevalley.com/?tyiuds=forex-lot Ukubwa: 5.8 x 2.7 x 0.37 (inchi)
http://bossons-fute.fr/?fimerois=site-de-rencontre-serieux-gratuit-suisse&b00=58 Ukubwa wa Kioo: 5.1 inchi, 1,920×1,080 pixels; 431ppi
golden goose trading Programu Uendeshaji (OS): Windows Phone 8.1
Inauwezo wa http://bestff.net/wp-content/plugins/delete-all-comments/backup/xsamxadooshock.php 4G LTE na see Bluetooth 4
binary auto trader in italiano Kamera ya Nyuma:“Ultrapixel”; 1080p HD video
pour ou contre les rencontres en ligne Kamera ya Mbele: 5-megapixel; 1080p HD
follow url Processor: 2.3GHz quad-core Snapdragon 801
source site Uwezo wa Betri: 2,600mAh
mujer busca hombre itagui Uwezo wa Uhifadhi: 32GB (Pia unauwezo wa kuongeza kupitia kadi)
RAM 2GB
Rangi: Kijivu

Bei yake kwa sasa haijatolewa, ila bei ya toleo linalotumia Android ni dollar 600 za kimarekani (Takribani Tsh 996,900/=), na kuna uwezekano mkubwa bei ya toleo la Windows kutozidi bei hiyo.

Mapato ya Kampuni ya HTC Hayajakuwa ya Kuridhisha Katika Miaka ya Karibuni.
Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Leave A Reply

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com