Huduma ya 5G ya kwanza kwa watu wote yawashwa kwa majaribio! #Australia

0
Sambaza

Kampuni kubwa ya mawasiliano ya Telstra ya Australia mwanzoni mwa wiki hii imewasha teknolojia ya 5G ya majaribio yenye kasi zaidi kwa njia ya Wi-Fi.

http://hardware2u.com.au/?kasas=celebs-hook-up&c0e=93 Kampuni hiyo inakuwa ya kwanza kuwasha teknolojia ya 5G duniani na itapatikana bure katika michezo ya jumuiya ya madola (GC2018) itakayofanyika nchini humo kuanzia April 04 mpaka April 15 mwaka huu.

5G ya kwanza

http://curemito.org/estorke/2418 HUDUMA YA KWANZA YA 5G KWA WATU WOTE: Australia, kupitia mtandao wa Telstra, imekuwa ni nchi ya kwanza kuwa na huduma ya majaribio kwa umma.

source link Teknolojia ya 5G itapatikana katika Pwani ya Gold coast, Queenslands ambapo michezo ya jumuiya ya madola itafanyika na wageni watakaohudhiria katika michuano hiyo watafurahia kupata intaneti ya bure na kusaidia kujaribu teknolojia mpya ya 5G.

http://stadsmagasinet.se/blog/tag/david-bowie/ Huduma ya 5G ya kwanza kwa umma: Mtandao wa Telstra

go Hata hivyo hakuna bado simu janja, Tablet au vifaa vinginevyo ambavyo vinaruhusu matumizi ya 5G. Kampuni ya Telstra imeweka idadi ya vituo vya Wi-Fi vinavyowezesha 5G ili kuweza kupima zaidi miundo mbinu yake mipya.

SOMA PIA:  Utafiti: Bei ya Simu Janja yaendelea kupanda zaidi mwaka hadi mwaka

Telstra imetoa tahadhari kwamba kasi ya intaneti hiyo itatofautiana kulingana na vifaa vya watumiaji, umbali wa WiFi na mtumiaji na wingi wa watumiaji waliounganishwa kwenye Hotspot moja.

Wakati Telstra imeanza rasmi majaribio ya 5G huko Australia, Marekani kampuni za mawasilino za AT&T na Verizon zipo kwenye maandalizi ya kuanza teknolojia ya 5G.

http://www.visionarywebsite.com/?kiolsa=opzioni-binarie-spiegazione-grafici&23b=98 AT&T imepanga kuanza teknolojia ya 5G katika miji 12 Marekani wakati Verizon wanashirikiana na Samsung kwa kuanzia huko Sacramento, California baadae mwaka huu.

SOMA PIA:  Bill Gates: Niliwazuia watoto wangu kutumia simu mpaka wafikishe miaka 14

Kwa sasa teknolojia ya 4G ndio inayotamba kwa kuwa na kasi zaidi na bado haijaenea katika maeneo mengi duniani.

Kampuni kadhaa za simu zikiwemo samsung na Apple zimeahidi kutoa simu zenye teknolojia ya 5G kufika mwaka 2019.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

opzioni binarie bdswiss SRL - Stazione Confinaria Di S. Andrea 8 - 34170 Gorizia (GO)45.9193213.61602: visualizza indirizzo, numero di telefono, CAP, mappa, indicazioni stradali e altre informazioni utili per TRADING TEAM SRL in Gorizia su Paginebianche. Ni mpenzi na mfuatiliaji wa mambo ya Sayansi na Teknolojia.

ATTENZIONE! http://www.mcmp.cz/biorefre/3312ption - Dunque è una truffa? Si tratta di un broker sicuro ed affidabile o è una truffa? Leggi prima di Iscriverti! Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com