Huduma ya Usafiri wa Uber Kuja Tanzania, Uganda na Ghana

4
Sambaza

Huduma ya usafiri ya Uber tayari imeifanya kampuni ya Uber kuwa moja ya kampuni yenye hadhi kubwa na moja inayokuwa kwa kasi zaidi duniani. Baada ya kuwa katika tayari katika miji 7 Afrika  sasa wameona wapo tayari kusambaa zaidi.

click here

Kwa muda sasa wapo katika miji ya nchini Afrika Kusini, Kenya na Nigeria, miji hiyo ilitumika kama eneo la kujifunza hali ya soko kabla ya kusambaa zaidi katika miji mingine ya barani Afrika.

what is dating site tinder uber

quiero conocer chicas caracas Kwa Kenya huduma hiyo inapatikana katika jiji la Nairobi na tayari njiani kuanza kupatikana katika jiji la Mombasa pia.

SOMA PIA:  Microsoft yatoa vitu viwili kwa mpigo; Laptop na Windows 10 S

cosa pensate di autopzionibinarie Changamoto kuu rencontres d'arles festival off waliyokutana nayo Nairobi na wanayoweza kutana nayo katika jiji la Dar es Salaam ni kupingwa vikali na madereva taxi wanaotoa huduma hiyo tayari. Na ili kuweza kushinda changamoto hii wanajiandaa kuanza kwa kuwavutia watoa huduma hiyo kujiunga na huduma hiyo kwanza ili kuwa wa kwanza katika kunufaika nayo.

Je mfumo wa usafiri wa Uber unafanyaje kazi?

opcje binarne notowania Usafiri wa Uber trading opzioni demo ni usafiri unaowaunganisha watu wanaoitaji usafiri na madereva taxi, na  ata madereva wa magari spesheli – ya hali ya juu na ya kuvutia.

uber

http://freejobseeker.com/?q=where-can-i-buy-viagra-online-safely Nguvu ya huduma ya Uber ni app yake ambayo urahisisha – utafutaji usafiri, malipo n.k

binaere optionen Kupitia app yao utaweza kuwa na akaunti yako, kupata taarifa kuhusu madereva waliokaribu yako, kuita dereva, kuona gharama ya usafiri kupitia app hiyo na ata kulipa kupitia akaunti yako ya benki/Paypal uliyounganisha ndani ya app hiyo go to link na kwa Kenya unaweza kulipa ata kwa kutumia huduma za kibenki za simu (kama vile Mpesa, Airtel Money n.k) kitu ambacho kinaweza kuwezesha kwa Tanzania pia.

SOMA PIA:  Skype yaingia mkataba na Paypal; sasa watumiaji wataweza kutuma pesa.

site de rencontre francophone gratuit sans inscription Bado haijafamika tarehe rasmi ya huduma hiyo kuanza kupatikana ila kwa kiasi kikubwa itakuwa mara baada ya kufanikiwa kuandikisha madereva kadhaa wa taxi na kisha kupata wanaotoa magari mengine yenye hadhi kubwa. Ila huduma hiyo itaanza ndani ya mwaka huu.

Endelea kutembelea TeknoKona na tutakupatia taarifa zaidi tukiwa tunafuatilia kwa karibu ujio wa huduma hii.

comment hacker un site de rencontre payant Vyanzo: AFKInsider na vingine mbalimbali

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com